Wanaume hasa tukipendwa mara nyingi huwa tunakosea apaa...

Reghia

Senior Member
Sep 29, 2016
126
113
Nilipomaliza form six alitokea bint mmoja ambae at that time alikua amemaliza form four akawa amenipenda sana ofcoz nilimpenda sana lkn badaee nikaja nikahis kama bado mdogo nikamwambia kama vp tuwe marafiki tu mpaka atakapo fika six ... bad luck matokeo yalivotoka akawa amefel

Kiukweli niliumia af nikahis kama future yake iko ruined iv af upendo wangu kwakwe ukazid poteaa na mwishowe nikamwambia sikutaki kama vp fanya mambo yako... Sasa last year yule bint akabahatika kupata credit akajiunga na chuo furani mbeya,

Sasa akiwa likizo na mm nikawa nimemaliza chuo ile kumuona daah moyo ukanidunda paaa.. mtoto kapendeza na anasifa zote za kuwa wife .. kiume nikamfuata nikampa hi akafurahi kuniona tukapiga story mbili tatu then tukapeana namba za simu then nikasepa coz zile za kwanza nilizifuta long time.

Sasa bwana usiku wake nikaanza chati naee nikamuuliza habari za siku na mambo mengine. After kama mwez nikaamua kumuomba kurudiana na yeye, akagoma nikahis anatania... nikaamua kukaza ili nione msimamo wake ,daah she aliendelea kugoma, tukaenda mpaka mwezi saba mwaka huu nikawa namuomba kurudiana akaendelea kukata nikimuuliza sababu anasema anaogopa nisije muumiiza tena na yupo single hahitaji mtu till anamaliza diploma yake..

After kama miez 9 ya kuomboleza nikaamua kugive up till now.. in short sina mawasiliano nae sana ingawa yeye hunipigia simu mara moja moja kunijulia hali. Mtoto ni mzuri na kwao mambo mazuri na zaid ni mcha Mungu. najuta kwnn sikumpa nafasi anayostahili.

In short kuna haja ya sisi wanaume kufikiria sana kabla hujaamua kumuacha mtu ambaye anakupend kwa dhati tena kwa sababu zisizo za msingi.
Na kama tukiamua kuwaacha basi tusiwasumbue tena after time eti kisa kawa mzuri au kapata mafinikio
Dudes take it plz.

bora umekuwa mkweli
mwaka jana sikuwa na kazi nilikuwa nimefulia hata chupi sikuwa nayo ,kuna jamaa kama alikuwa ananitaka hivi ,kweli nilikuwa na shida sana mara niitwe interview huku na huku mara zingine ilikuwa nabidi nimuombe hata vinauli kumbe jamaa alikuwa anamind kuna siku nilikuwa na shida kweli nilivomuomba hakunijibu kama mwezi hivi akaja akanitafuta salam salamu nikampiga tena mzinga akasepa mazima .nikaja dsm nikamuomba hata nikae kwake kwa muda sikumuambia nimepata kazi akagoma hata hivo bahati mbaya nae akahamishiwa mkoani. jamaa karudishwa tena dar ananitafuta yaani amenitoka sijui nisemeje .ila nilikuwa nampenda sema tu maisha yalikuwa sio.

Nilipomaliza form six alitokea bint mmoja ambae at that time alikua amemaliza form four akawa amenipenda sana ofcoz nilimpenda sana lkn badaee nikaja nikahis kama bado mdogo nikamwambia kama vp tuwe marafiki tu mpaka atakapo fika six ... bad luck matokeo yalivotoka akawa amefel kiukweli niliumia af nikahis kama future yake iko ruined iv af upendo wangu kwakwe ukazid poteaa na mwishowe nikamwambia sikutaki kama vp fanya mambo yako...
Sasa last year yule bint akabahatika kupata credit akajiunga na chuo furani mbeya, sasa akiwa likizo na mm nikawa nimemaliza chuo ile kumuona daah moyo ukanidunda paaa.. mtoto kapendeza na anasifa zote za kuwa wife .. kiume nikamfuata nikampa hi akafurahi kuniona tukapiga story mbili tatu then tukapeana namba za simu then nikasepa coz zile za kwanza nilizifuta long time. Sasa bwana usiku wake nikaanza chati naee nikamuuliza habari za siku na mambo mengine. After kama mwez nikaamua kumuomba kurudiana na yeye, akagoma nikahis anatania... nikaamua kukaza ili nione msimamo wake ,daah she aliendelea kugoma, tukaenda mpaka mwezi saba mwaka huu nikawa namuomba kurudiana akaendelea kukata nikimuuliza sababu anasema anaogopa nisije muumiiza tena na yupo single hahitaji mtu till anamaliza diploma yake.. after kama miez 9 ya kuomboleza nikaamua kugive up till now.. in short sinamawasiliano nae sana ingawa yeye hunipigia simu mara moja moja kunijulia hali.

Mtoto ni mzuri na kwao mambo mazuri na zaid ni mcha Mungu.
najuta kwnn sikumpa nafasi anayostahilo.
In short kunahaja ya sisi wanaume kufikiria sana kabla hujaamua kumuacha mtu ambaye anakupend kwa dhati tena kwa sababu zisizo za msingi.
Na kama tukiamua kuwaacha basi tusiwasumbue tena after time eti kisa kawa mzuri au kapata mafinikio

Dudes take it plz.
una miaka mingapi?

tulishapoa rafiki wa kweli ni yule anaekupenda wakati wa shida hakuna ajuae kesho
Yeah..sure. ..

Sometimes sijui ni nature inachukua nafasi yake.... unakuta mtu anakupenda(inatokea saana kwetu sisi me) lakini huna feelings kwake. Unamchukulia kawaida.

Mtoto wa watu hata afanye nini wala hustuki.

ila hakuna kitu kinauma kama mtu asikupende kisa wewe huna kitu.yaani mapenzi yapo ila anasita vile huna kitu inauma sana

ila hakuna kitu kinauma kama mtu asikupende kisa wewe huna kitu.yaani mapenzi yapo ila anasita vile huna kitu inauma sana
Ungekuwa mwanamme ungejinyonga wewe. Kati ya jinsia inayonyanyasika kisa usawa wa pochi ni Me. Watu wameshanyanganywq matone midomoni.....kisa no money

Ungekuwa mwanamme ungejinyonga wewe. Kati ya jinsia inayonyanyasika kisa usawa wa pochi ni Me. Watu wameshanyanganywq matone midomoni.....kisa no money
mwanaume ni sawa ila mwanamke jamani si mnatakiwa mtusaidie?

bora umekuwa mkweli
mwaka jana sikuwa na kazi nilikuwa nimefulia hata chupi sikuwa nayo ,kuna jamaa kama alikuwa ananitaka hivi ,kweli nilikuwa na shida sana mara niitwe interview huku na huku mara zingine ilikuwa nabidi nimuombe hata vinauli kumbe jamaa alikuwa anamind kuna siku nilikuwa na shida kweli nilivomuomba hakunijibu kama mwezi hivi akaja akanitafuta salam salamu nikampiga tena mzinga akasepa mazima .nikaja dsm nikamuomba hata nikae kwake kwa muda sikumuambia nimepata kazi akagoma hata hivo bahati mbaya nae akahamishiwa mkoani. jamaa karudishwa tena dar ananitafuta yaani amenitoka sijui nisemeje .ila nilikuwa nampenda sema tu maisha yalikuwa sio.
Duu polee

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom