Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Ili tugundue nin Sasa?Mfano umeamua kuoa ukafuata taratibu zote ila mwanamke akakwambia sifanyi tendo la ndoa mpaka siku ya kufunga ndoa ukakubali, baada ya kufunga ndoa kabla ya kulala mke akawa analia maumivu makali sana sehem za siri na chini ya kitovu kiasi kwamba hawezi kuruhusu kuingiliwa na mwanaume maana anaumia sana ukaamua kumpeleka hospitalini, jioni hiyo akapangiwa kufanyiwa upasuaji kwenye mfuko wa uzazi, upasuaji haukufanyika vizuri maumivu yakaendelea kabla ya kidonda kukauka akarudishwa tena hospitali akakaa huko miezi 3 akaandikiwa rufaa aende nje ya nchi.
Je wanaume tuna uwezo wa kuwa waaminifu hadi hapo mke atakapokuwa amepona.
Kama mwanamke akiwa bikra sawa. Ss unakuta mwanamke ashasex na wanaume yotong tatu, unaweka akiba ya kazi gani, fyatua tu mengine mtajuana mbele kwa mbele
Hata akikuambia ni bikra hutamuamini, hamuishiwi visingizioKama mwanamke akiwa bikra sawa. Ss unakuta mwanamke ashasex na wanaume yotong tatu, unaweka akiba ya kazi gani, fyatua tu mengine mtajuana mbele kwa mbele
Iliyo bikra utaijua tu wakati wa kuitafunaHata akikuambia ni bikra hutamuamini, hamuishiwi visingizio
Iliyo bikra utaijua tu wakati wa kuitafuna
Sema mimi masharti kama hayo siyawezagi, lazima nionye kitumbua kabla ya ndoaSi utaitafuna siku ya ndoa sasa
Ndio useme hivyo sasa sio kuanza stori za 'nitaamini vipi'Sema mimi masharti kama hayo siyawezagi, lazima nionye kitumbua kabla ya ndoa
Kanuni ya kwanza kabla ya kuoa is shake well before use... teh!!Mfano umeamua kuoa ukafuata taratibu zote ila mwanamke akakwambia sifanyi tendo la ndoa mpaka siku ya kufunga ndoa ukakubali, baada ya kufunga ndoa kabla ya kulala mke akawa analia maumivu makali sana sehem za siri na chini ya kitovu kiasi kwamba hawezi kuruhusu kuingiliwa na mwanaume maana anaumia sana ukaamua kumpeleka hospitalini, jioni hiyo akapangiwa kufanyiwa upasuaji kwenye mfuko wa uzazi, upasuaji haukufanyika vizuri maumivu yakaendelea kabla ya kidonda kukauka akarudishwa tena hospitali akakaa huko miezi 3 akaandikiwa rufaa aende nje ya nchi.
Je wanaume tuna uwezo wa kuwa waaminifu hadi hapo mke atakapokuwa amepona.