Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,294
- 3,188
Habari za wakati huu wana Jf i hope mko salama kabisa na poleni kwa harakati za kila siku za utafutaji..
Wanaume wezangu hebu tuweke kambi kidogo kwenye uzi huu..
Hivi mchepuko unampa pesa,gari na kumjengea nyumba alafu yeye anakupa mapenzi tu....wazee hii biashara kichaa isiokuwa na faida ni ushamba wa mapenzi au wanaume kuna mahali tunarogwa na michepuko...
Mwanaume real hivo vitu anafanya kwa mkeo yule ulimueka ndani sio hawa michepuko kwanza hawanaga mapenzi ya kweri..
Kama unaona ndoa imekushinda bora hizo hela uweke au uwekeze kwajili ya future ya badae kwa ajili ya watoto wako.
Nb: najua mtasema nitafute hela ila ngoja nikwambie nina kila kitu ambacho mwanaume inapaswa uwe navyo ukifika age go...(sio muhaya😁)
Ahsanteni sana