Wanaume Embu Nisaidien kwenye Hili

Huyo hkupend from experience yangu mie humfanyia hvyo mwanaume nisiye mpenda
 
Wa hivyo nawaitaga "pasua kichwa"
Hajakomaa akili piga chini
 
Mapenzi ya kweli upendwe na mpenzio hapo ndo utajisikia vzr km we ndo umependa tegemea vituko
 
ulishawahi kununua matunda ukampelekea mama yako, shangazi au hata dadako? kama hujawahi wacha akusumbue tuu, huna jinsi.
 
Pengene huko kwao ilikuwa kuna kipogo ilikuwa upate ss huweza kufika ukasalimika.
ungali muona mume mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…