Hadi flat screen mnazikodolea macho...
Ukweli ni kwamba wanaume wengi huona makalio ya wanawake ni muhimu kuliko tabia
Uongo?
Acha tu mamy tunatungiwa majina kila kukicha......haa haa haa mweeeh eti flat screen....watu mna misemo!!
"uzuri wa nyumba choo"
haa haa haa mweeeh eti flat screen....watu mna misemo!!