Wanaume bhana mna mambo

Wanaume bhana mna mambo

Eti unakuwa na mwanaume mnapeana raha mkiaahidiana mengi unamwambia babe na hamishwa kikazi na utakuwa unakuja huko kunisalimia .
Mtu anadai kuwa babe nitakupa kitu ambacho hutonisahau hata siku moja nini?
Wewe mpaka unaenda kwenye makazi yako mapya hujui nizawadi gani wiki kupita kama nne huoni period kumbe kaweka mazaga zaga yake .
Wanaume eleweni kabisa kuzaa ni mipango sio mtu tu unamfanya single mother kisa umeamua kumuachia mtu mtu mwingine wakumlea kumbuka atahitaji mengi .
Uzazi malezi na pia hayo malezi ya mtoto sio rahisi ila nyie mnaona rahisi.
Maisha ni magumu huu ukiritimba muache kabisa sio muwanyime wenzenu starehe zao na hamna mipango now ya mbele.
Unamjaza mtu upepo halafu baadae unadai unaona fresh so mwenzako alikuwa ni laboratory ya kutestiwa vitu halafu mnaofanya hivi niwatu naakili zao.
Wengine mmeoa tayari.
Sijui mnafikiriaga nini kweli acheni uharibifu.

Na wewe unayefanyiwa lab kwa dunia ya sasautakubalije kufanywa bila condom na magonjwa yote hayo utakubalije kuingiliwa pekupeku kwa mfano au unategesha upate mimba ili uolewe
utakubalije kufanywa peku peku na mwanamme asiyekuoa
 
Imeshindikana kwani P2 ni masaa mawili inafanya kazi ila kwa sasa anamwezi ila nyie sio wazuri mnapotezaga dira za watu wengine.
wote sio wazuri kwanini asimwambie muhusika anunue condom zenye quality au kwanini ilipopasuka usimwambie atoe nyoka wake
 
Sasa kama wewe unajua kuzaa ni mipango kwanini unatanua Papuchi hiyo na unakubali kumwagiwa tena na kilio cha utamu kolea juu?
 
wanawake mimi huwaga siwaelewi kabisa wakishikwa na genye husahau kila kitu mwisho unalaumu eti umeachiwa mazagazaga
 
Mwanamke mwenye akili zake timamu hawezi kupata mimba kirahisi kuna siku salama yani izo ata umwage ndani vp hawezi kupata mimba na kuna siku zahatari ukimwaga kosa hivyo mwanamke anaejielewa niyule anaecheza na siku zake utawakuta wachaxhe ndio wanaojua kucheza na siku zaoView attachment 1098692
Hata akimwagiwa mdomoni hapati mkuu
 
tatizo wanawake hata akiwa katika siku za hatari yeye anatumia njia ileile haogopi mimba akinasa anaanza kulalamika
 
Eti unakuwa na mwanaume mnapeana raha mkiaahidiana mengi unamwambia babe na hamishwa kikazi na utakuwa unakuja huko kunisalimia .
Mtu anadai kuwa babe nitakupa kitu ambacho hutonisahau hata siku moja nini?
Wewe mpaka unaenda kwenye makazi yako mapya hujui nizawadi gani wiki kupita kama nne huoni period kumbe kaweka mazaga zaga yake .
Wanaume eleweni kabisa kuzaa ni mipango sio mtu tu unamfanya single mother kisa umeamua kumuachia mtu mtu mwingine wakumlea kumbuka atahitaji mengi
Uzazi malezi na pia hayo malezi ya mtoto sio rahisi ila nyie mnaona rahisi.
Maisha ni magumu huu ukiritimba muache kabisa sio muwanyime wenzenu starehe zao na hamna mipango now ya mbele.
Unamjaza mtu upepo halafu baadae unadai unaona fresh so mwenzako alikuwa ni laboratory ya kutestiwa vitu halafu mnaofanya hivi niwatu naakili zao.
Wengine mmeoa tayari.
Sijui mnafikiriaga nini kweli acheni uharibifu.
Kumbe akili mnazo ila wavivu wa kuzitumia kabla ya tukio huwa inakuja baadae sana. Kwanza ilaiumu nafsi yako kwa kutokuwa sikivu. We toka utoto unafundishwa kuwa uzinzi ni dhambi we unakaza shingo unataka kuthibitisha. Yaani nyumba za ibada zimekuwa kama sehemu ya kwenda kufanya mauzo tu. Hayo ndo matokeo ya ubishi. Ila atukuzwe Mungu aishie milele amekupa fundisho amekuacha uwe hai kwani kuna wenzako uzinzi umewaua kabisaaa. Sasa utubu na kuacha dhambi kabisa. Akija mwanaume mzinzi ujue ni wakala wa shetani ukimwambia I love you too ujue umempenda tena shetani atakupa mshahara mwingine. Pole kwa yote Ila Mungu wa mbingu na nchi hatakuacha maana huyo mtoto ni Mali yake na atamtunza na kimlinda siku zote. Shaka ondoa huyo ndo baraka kipato choko ndani ya malango yako.
 
Back
Top Bottom