Wanaume bana.... Kaazi kweli kweli....!

Napendaga sana. I think it's my favourite sport! Hehehe.

Ebwanaeeee cheki yule, duh. Mashallah....
 
hat ngekua mim naangalia mwanzo macho yalikua na pazia then chabo mpaka likaisha sasa ni full kujiachia naomba na miwan vile za mpaka ndan wachna walete
 
Hiyo ndo zetu vidume....kama una macho hutaambiwa tazama, utaona mwenyewe.
Macho hayafilisi.
 
Wanasema mwanamke ni kama ua vile, na kama mnavyofahamu, ua ni kitu ambacho kinapendeza sana kukiangalia hususani kinapotunzwa au kijitunza vizuri. Na sisi wanaume ni nature yetu kuwaangalia hawa wapendwa wetu ... maana ni maua yetu ...
 








Mijamaa ina nongwa hii..............!
Mkuu sioni tatizo katika hilo, unategemea tufanye nini ikiwa hawa wenzetu wanakaa mbele ya kioo masaa kadhaa kujipamba, usipowaangalia inamaana huthamini kazi waliyofanya mbele ya kioo.

Na ukiwakaushia hawakawii kwenda kwa babu kusafisha nyota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…