Wanaume badilikeni

Wanaume badilikeni

Sasa sie tufanyeje wengine wapenzi wetu wapo mbalii kuja mpaka hata baada ya miezi 7au 9 ndio anakuja unafikiri huku chini hapatekenyi,watuue tuu wengine

Kizuri kula na nduguzo, kibaya msukumie jirani.
 
kweli kaka wengine ni mifupa iliyomshinda fisi...kuna watu hawajui kupendwa ...

#iDoubt this...

Kupenda mtu huzaliwa nako...hating mtu hujifunza from life's experiences.

Sidhani kama kuna mtu asiyejua kupenda!!!
MDHT, thanks for the reminder, we know this, takes time to perfect though!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom