Wanaume badilikeni

Wanaume badilikeni

Mkuu mlisha badilisha mtazamo tena? Ule motto wa pesa mbele mengine tutavumiliana ulikwisha expire au mnaenda na mood ya cku husika?
haa haa haaa mkuu Jizzy1 mood inabadilika kila siku ni kama fasihi simulizi hubadilika kulingana na mazingira na wakati
 
Last edited by a moderator:
Wanaume jamani badilikeni laa sivyo mtajiua kila siku na kuuwa wenzenu.aslimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi. Wao wanadhani ili wapendwe wawe na pesa tu! Mnakosea, mwanamke ali akupende anahitaj mapenzi, ukiona mwanamke yupo na ww kwa sanana ya pesa ujue haupendwa kwa hiyo lazima mtu atatafuta mtu wa kumpa mapenzi.

Napo sema wanawake wote tunahitaji mapenzi namaanisha mambo haya mawili ambayo kama mwanaume amejaaliwa katu mwanamke hawez kumkimbia

1;ujuzi wa kumfikisha mwanamke kileleni.
Hapa jamani ujuzi tu ndo unatakiwa. Haijalishi unagoti, mguu wa mtoto wala kibamia unaweza ukamfikisha mwanamke kileleni. Usidhani kwamba kwa kutumia kwako nguvu ndo mwanamke atafika wala kuwa kwako na dude kubwa kwamba ndo ujuzi. Kumfikisha kileleni mwanamke anahitaji umuandae vizuri mpaka unapoona anatamani akuvutie kwake ndo anakuwa tayari. Sasa tatizo wanaume wengine yeye ikishaamka tu anataka aparamie kama jogoo, ka! Na katika kuanza kazi yenyewe wengine hudhani ni kuingia tu na kutwanga kama vile unatwanga kisamvu kwa nguvu nyingi, jamani sio hivyo. Mnatukosea, unapoanza kazi yenyewe tumia ufundi, unatakiwa uanze taratibu kwa kumsoma ni wapi anapata raha na wapi hapendi aguswe, ukishajua sehemu inayomkuna ndo unaongeza nguvu mpaka anafika kileleni au mfike pamoja. Hapo hauwez kukimbiwa labda ushindwe katika kipengele kinachofuata.

2;kumjali(care)
kipengele hiki kina mambo mengi na ni kizito pia, ni pamoja na kusikiliza mawazo yake, kumshauri, kumsifia anapofanya vizuri au anapovaa vizuri, kumpa zawadi, kumsuprize,
kuonesha kwamba unamjali kwa mfano kutumia condom kama hamjafunga ndoa, kumpigia sm mara kwa mara ila sio kwa kumkera, kutumia lugha nzuri katika kumuliza pale unapohic kuwa amekosea, kuwa muwaz kwake, kuwa mkweli, kubeba matatizo yake kama yako, mchukulie kama mdogo kwako na umuoneshe kwamba unampenda hata mbele ya watu. Kuchat naye mara kwa mara, kumsaidia kiuchumi kulingana na uwezo wako hata kama unahic anapesa kuliko wewe, mdekeze mwenzio, na mwisho kumuelewa anapokuomba msamaha.hapa mwanamke atajihc yuko peponi

Kama utaweza mambo hayo huwezi kukimbiwa na mwanamke, hautojuta hata siku moja na roho ya kujiua itakaa mbali na wewe.
Chukueni soma ndugu zangu sio kila siku kulialia tu. Yangu kwa leo ni haya ila unaruhusiwa pia kunipinga.

Hivi unajua kupenda ni kufanya nini wewe?

Kama wewe ni mwanamke hujui hata mnataka nini!
 
yaelekea nimekugusa, nashukuru ujumbe umefika, mimi ni ke kwataarifa yako na huu uzi nimeuanzisha kwa manufaa ya watu kama wewe,
so mbaya saa hivi tafuta injini kiuno sisi ututafute baadae tukiwa na hela zetu na ukija ni 0713 tu!
 
haa haa haaa mkuu Jizzy1 mood inabadilika kila siku ni kama fasihi simulizi hubadilika kulingana na mazingira na wakati
Hahahaa sikujua Hilo my sis, sometimes tunachukulia serious maneno yanayojirudia rudia.
 
Wanaume jamani badilikeni laa sivyo mtajiua kila siku na kuuwa wenzenu.aslimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi. Wao wanadhani ili wapendwe wawe na pesa tu! Mnakosea, mwanamke ali akupende anahitaj mapenzi, ukiona mwanamke yupo na ww kwa sanana ya pesa ujue haupendwa kwa hiyo lazima mtu atatafuta mtu wa kumpa mapenzi.

Napo sema wanawake wote tunahitaji mapenzi namaanisha mambo haya mawili ambayo kama mwanaume amejaaliwa katu mwanamke hawez kumkimbia

1;ujuzi wa kumfikisha mwanamke kileleni.
Hapa jamani ujuzi tu ndo unatakiwa. Haijalishi unagoti, mguu wa mtoto wala kibamia unaweza ukamfikisha mwanamke kileleni. Usidhani kwamba kwa kutumia kwako nguvu ndo mwanamke atafika wala kuwa kwako na dude kubwa kwamba ndo ujuzi. Kumfikisha kileleni mwanamke anahitaji umuandae vizuri mpaka unapoona anatamani akuvutie kwake ndo anakuwa tayari. Sasa tatizo wanaume wengine yeye ikishaamka tu anataka aparamie kama jogoo, ka! Na katika kuanza kazi yenyewe wengine hudhani ni kuingia tu na kutwanga kama vile unatwanga kisamvu kwa nguvu nyingi, jamani sio hivyo. Mnatukosea, unapoanza kazi yenyewe tumia ufundi, unatakiwa uanze taratibu kwa kumsoma ni wapi anapata raha na wapi hapendi aguswe, ukishajua sehemu inayomkuna ndo unaongeza nguvu mpaka anafika kileleni au mfike pamoja. Hapo hauwez kukimbiwa labda ushindwe katika kipengele kinachofuata.

2;kumjali(care)
kipengele hiki kina mambo mengi na ni kizito pia, ni pamoja na kusikiliza mawazo yake, kumshauri, kumsifia anapofanya vizuri au anapovaa vizuri, kumpa zawadi, kumsuprize,
kuonesha kwamba unamjali kwa mfano kutumia condom kama hamjafunga ndoa, kumpigia sm mara kwa mara ila sio kwa kumkera, kutumia lugha nzuri katika kumuliza pale unapohic kuwa amekosea, kuwa muwaz kwake, kuwa mkweli, kubeba matatizo yake kama yako, mchukulie kama mdogo kwako na umuoneshe kwamba unampenda hata mbele ya watu. Kuchat naye mara kwa mara, kumsaidia kiuchumi kulingana na uwezo wako hata kama unahic anapesa kuliko wewe, mdekeze mwenzio, na mwisho kumuelewa anapokuomba msamaha.hapa mwanamke atajihc yuko peponi

Kama utaweza mambo hayo huwezi kukimbiwa na mwanamke, hautojuta hata siku moja na roho ya kujiua itakaa mbali na wewe.
Chukueni soma ndugu zangu sio kila siku kulialia tu. Yangu kwa leo ni haya ila unaruhusiwa pia kunipinga.
Hii ni kweli kabisa,
Nimewahi kuwa na mtu ambaye nilimpenda na sikuwahi kumtamkia kwasababu sikumjua tabia,ila nikawa nachati naye mara kwa mara na kumpigia simu.napenda sana kutoka jioni kwenda kula(outing),nikawa namwalika na kula na kunywa naye pamoja na baadhi wa marafiki zang wa kiume ikafikia mahali kajiachia kwangu hata kuomba ushauri namshauri hata shida zake namsaidia BILA KUMWAMBIA LOLOTE!kumbe naye kapenda sana upendo wangu,HAKUNA MTU ASIYEPENDA KUPENDWA NA KUJALIWA.so nilipomwambia nakupenda hakuamini!
Pia kipengele cha ufundi kitandani ilikuwa naMESS maana nilitumia nguvu wakati wa shughuli badala ya akili,nguvu inayotokana na mhemko,baadae nilijifunza na tukawa tunaenjoy 2gether.Nimeamini mwanamke anaweza kumpenda mwanaume bila pesa.Baadae niliacha kumpa pesa kumpima upendo wake lakini,ALIENDELA KUNIPENDA!
 
Wanaume jamani badilikeni laa sivyo mtajiua kila siku na kuuwa wenzenu.aslimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi. Wao wanadhani ili wapendwe wawe na pesa tu! Mnakosea, mwanamke ali akupende anahitaj mapenzi, ukiona mwanamke yupo na ww kwa sanana ya pesa ujue haupendwa kwa hiyo lazima mtu atatafuta mtu wa kumpa mapenzi.

Napo sema wanawake wote tunahitaji mapenzi namaanisha mambo haya mawili ambayo kama mwanaume amejaaliwa katu mwanamke hawez kumkimbia

1;ujuzi wa kumfikisha mwanamke kileleni.
Hapa jamani ujuzi tu ndo unatakiwa. Haijalishi unagoti, mguu wa mtoto wala kibamia unaweza ukamfikisha mwanamke kileleni. Usidhani kwamba kwa kutumia kwako nguvu ndo mwanamke atafika wala kuwa kwako na dude kubwa kwamba ndo ujuzi. Kumfikisha kileleni mwanamke anahitaji umuandae vizuri mpaka unapoona anatamani akuvutie kwake ndo anakuwa tayari. Sasa tatizo wanaume wengine yeye ikishaamka tu anataka aparamie kama jogoo, ka! Na katika kuanza kazi yenyewe wengine hudhani ni kuingia tu na kutwanga kama vile unatwanga kisamvu kwa nguvu nyingi, jamani sio hivyo. Mnatukosea, unapoanza kazi yenyewe tumia ufundi, unatakiwa uanze taratibu kwa kumsoma ni wapi anapata raha na wapi hapendi aguswe, ukishajua sehemu inayomkuna ndo unaongeza nguvu mpaka anafika kileleni au mfike pamoja. Hapo hauwez kukimbiwa labda ushindwe katika kipengele kinachofuata.

2;kumjali(care)
kipengele hiki kina mambo mengi na ni kizito pia, ni pamoja na kusikiliza mawazo yake, kumshauri, kumsifia anapofanya vizuri au anapovaa vizuri, kumpa zawadi, kumsuprize,
kuonesha kwamba unamjali kwa mfano kutumia condom kama hamjafunga ndoa, kumpigia sm mara kwa mara ila sio kwa kumkera, kutumia lugha nzuri katika kumuliza pale unapohic kuwa amekosea, kuwa muwaz kwake, kuwa mkweli, kubeba matatizo yake kama yako, mchukulie kama mdogo kwako na umuoneshe kwamba unampenda hata mbele ya watu. Kuchat naye mara kwa mara, kumsaidia kiuchumi kulingana na uwezo wako hata kama unahic anapesa kuliko wewe, mdekeze mwenzio, na mwisho kumuelewa anapokuomba msamaha.hapa mwanamke atajihc yuko peponi

Kama utaweza mambo hayo huwezi kukimbiwa na mwanamke, hautojuta hata siku moja na roho ya kujiua itakaa mbali na wewe.
Chukueni soma ndugu zangu sio kila siku kulialia tu. Yangu kwa leo ni haya ila unaruhusiwa pia kunipinga.
Umekaa ukajiulza wanaume wanapenda nn?
 
Hahahaa sikujua Hilo my sis, sometimes tunachukulia serious maneno yanayojirudia rudia.
humu watu huwa tunacomment kulingana na mood ya uzi, kuna nyuzi zingine huwa hazijakaa kisiriaz kihivyo au unaona kabisa uzi umekaa ki mlengo wa kudhalilisha jinsia fulani. so huwa tunajibu mapigo kwa kuleta comment ya shombo. lakin kama uzi ni wa kufunza na kuelimisha huwa tunakuja na komment za kujenga tu. jaribu kuchunguza utaona.
 
Sometimes Unakuta mwanamke havutii, chini ana mfuko wa Rambo na Maji kama sehemu ya kuogelea, kujiweka msafi kazi kwake n.k Kwa nini perfomance ya mwanaume isiwe mbovu? mashine italala baada ya bao moja tu. Wanaume tunapata hamu ya kufanya mara nyingi zaidi endapo tuna enjoy na kufurahia kile kitendo. Wanawake badilikeni msifikire kuridhishwa nyinyi tuuuuuu. Angalieni je na mwenzangu ameridhika? Jitumeni ongezeni mautundu ili turidhishane.
kwa kweli kama kuna wanalotukosea wanawake ni ktk hili,usafi muhimu kulikomu kuliko maelezo!
 
Sasa sie tufanyeje wengine wapenzi wetu wapo mbalii kuja mpaka hata baada ya miezi 7au 9 ndio anakuja unafikiri huku chini hapatekenyi,watuue tuu wengine

Umetisha!!! Jamaa anasaidiwa ryt?
 
kutwanga kama vile unatwanga kisamvu kwa nguvu nyingi

sio anawanga ni kwamba anakoboa !
 
MDHT Pole sana hope hujawahi kufanyiwa hayo uyasemayo ndo maana unasema hivyo!Nasi tulikuwa na mtazamo huo Siyo SASA!
 
Last edited by a moderator:
Wanaume jamani badilikeni laa sivyo mtajiua kila siku na kuuwa wenzenu.aslimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi. Wao wanadhani ili wapendwe wawe na pesa tu! Mnakosea, mwanamke ali akupende anahitaj mapenzi, ukiona mwanamke yupo na ww kwa sanana ya pesa ujue haupendwa kwa hiyo lazima mtu atatafuta mtu wa kumpa mapenzi.

Napo sema wanawake wote tunahitaji mapenzi namaanisha mambo haya mawili ambayo kama mwanaume amejaaliwa katu mwanamke hawez kumkimbia

1;ujuzi wa kumfikisha mwanamke kileleni.
Hapa jamani ujuzi tu ndo unatakiwa. Haijalishi unagoti, mguu wa mtoto wala kibamia unaweza ukamfikisha mwanamke kileleni. Usidhani kwamba kwa kutumia kwako nguvu ndo mwanamke atafika wala kuwa kwako na dude kubwa kwamba ndo ujuzi. Kumfikisha kileleni mwanamke anahitaji umuandae vizuri mpaka unapoona anatamani akuvutie kwake ndo anakuwa tayari. Sasa tatizo wanaume wengine yeye ikishaamka tu anataka aparamie kama jogoo, ka! Na katika kuanza kazi yenyewe wengine hudhani ni kuingia tu na kutwanga kama vile unatwanga kisamvu kwa nguvu nyingi, jamani sio hivyo. Mnatukosea, unapoanza kazi yenyewe tumia ufundi, unatakiwa uanze taratibu kwa kumsoma ni wapi anapata raha na wapi hapendi aguswe, ukishajua sehemu inayomkuna ndo unaongeza nguvu mpaka anafika kileleni au mfike pamoja. Hapo hauwez kukimbiwa labda ushindwe katika kipengele kinachofuata.

2;kumjali(care)
kipengele hiki kina mambo mengi na ni kizito pia, ni pamoja na kusikiliza mawazo yake, kumshauri, kumsifia anapofanya vizuri au anapovaa vizuri, kumpa zawadi, kumsuprize,
kuonesha kwamba unamjali kwa mfano kutumia condom kama hamjafunga ndoa, kumpigia sm mara kwa mara ila sio kwa kumkera, kutumia lugha nzuri katika kumuliza pale unapohic kuwa amekosea, kuwa muwaz kwake, kuwa mkweli, kubeba matatizo yake kama yako, mchukulie kama mdogo kwako na umuoneshe kwamba unampenda hata mbele ya watu. Kuchat naye mara kwa mara, kumsaidia kiuchumi kulingana na uwezo wako hata kama unahic anapesa kuliko wewe, mdekeze mwenzio, na mwisho kumuelewa anapokuomba msamaha.hapa mwanamke atajihc yuko peponi

Kama utaweza mambo hayo huwezi kukimbiwa na mwanamke, hautojuta hata siku moja na roho ya kujiua itakaa mbali na wewe.
Chukueni soma ndugu zangu sio kila siku kulialia tu. Yangu kwa leo ni haya ila unaruhusiwa pia kunipinga.

yaani nilichokiona hapa umejaribu kuonesha kuwa wanawake ndo kila kitu....lakini mi nikajiuliza mbona sehemu zinazonizunguka mi wala sihitaji kutumia nguvu kuwatunza na badala yake wamekuwa wengi sana wao hadi nashindwa nifanyeje na nimpende nani nimuache yupi....!
 
Back
Top Bottom