Acha ushabiki!
Humu kuna ke wanaponda wanaume na kuna me wanaponda wanawake!
...
Ingekua vyema ungetumia "TUBADILIKE!"
Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!
Bora useme weye mkuuAcha ushabiki!

Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!

hahahaaa umenifurahisha mkuu ktk huo mgomo mimi sitahusika kwa kweli
Tunakoelekea mtanyimwa sana!
Hilo jina ulivo litaja. Ndio user name yangu kwenye jukwa la siasa siunajua vyama vyetu wakijua kama wewe kesho umefukuzwa chama.Mambo si ndo hayo sasa,asante #mzee uchwara!