Habari zenu wana JF!
Naomba kuwauliza nyie wanaume, hivi hamna kitu cha kuwasifia wanawake/wadada? Posts nyingi ni malalamiko tuuu, ina maana mbele ya macho yenu hakuna mema tuyatendayo? Mara sijui pichu zimefanyaje,mara hatujui kupenda, kama nyie msipoonyesha mfano wa hayo mapenzi tutajua sisi? Badilikeni jmn!
Ningekuwa na uwezo ningeoganize mgomo wa wanawake nchi nzima walau kwa usiku mmoja tu waleo tukawanyima then tuone kesho kama kazi zitaenda sawa, wengine wakinyimwa wanakuwa na hasira hao!
Uko deep.Waswahili wanasema 'njaa mwana malegeza,shibe mwana malevya'
so sometimes watu wakishiba hutafutatu cha kuongea baada ya shibe..
na most of time kulalamika...tu ili mradi mda uende...
dont take them serious
najua hakuna kitu mwanamke anapenda kama kusifiwa
Waswahili wanasema 'njaa mwana malegeza,shibe mwana malevya'
so sometimes watu wakishiba hutafutatu cha kuongea baada ya shibe..
na most of time kulalamika...tu ili mradi mda uende...
dont take them serious
Hahahahas shida si kusifiwa tu jmn e! Little things matter a lot!