Wanaume amkeni acheni kulalama

Hilo nalo neno.... Nikiwa kama mwanaume hujisikia fakhari pale ninapomhudumia mpenzi wangu wa ukweli.... note keyword WA UKWELI.

Huwa ni faraja kubwa kwangu iwapo kuanzia pichu hadi makeup na kila kitu ikiwa imetoka mfukoni mwangu....

Tatizo linakuja wa kwamba sisi wajibu wetu tuhudumie nje... ninyio muhudumie ndani... MNASHINDWA!!!

Unarudi kubeba mizigo usiku mgongo ukiuma.... unaingia ndani unaambiwa chakula kipo jikoni kajipakulie... au unakuta nyumba usafi haueleweki... Na huyu hachelewi kukwambia mimi nimepika wewe uoshe vyombo... HAPA NDIO MNAPOHARIBU

Babu zetu walikuwa wanahudumia asilimia mia tano... ila na wao wakiingia wanahudumiwa... aisee mizigo yote bwana akiingia inapokewa... wale jamaa zangu wa mwambao wanapokea hadi nanihino zako.. zinawekwa kwenye kisahani kidogo (kisosa) chenye mafuta... unafikiri hapo janadume lisihudumie? Akiingia chooni bwana anaogeshwa kwa maji ya asumini huku akisuguliwa mgongo na akiimbiwa mashairi... Hapo huduma zitatoka tuu.. wakati wa kula nako... bibi anakaa hapo mbele yako, hakuambiii niachie niangalie marichuy yangu au secreto de amor... dume linakula huku akipepewa na vile vijikawa/vipepeo vya duara jina lake sivijuwi....

Yaani hii huduma yapaswa iwe ya pande mbili... Msitake kuingia mifukoni tu bila huo mfuko kuukanda kanda...

Tunafahamu kazi za ulezi ni nzito sanna.... tunawathamini kwa mchango wenu wa kutuzalia wana.... ila na sisi mtuthamini for paying the bills and putting food on the table... hapo ndio morali ya kujituma tunapoipata zaidi...

Masalaam.
 
O
Sijui kwa nini povu linakutoka sana na unakurupuka,calm down boy hii ni hoja tunachangia!
 
Last edited by a moderator:

Duh! Kumbe mi bado sana. Yaani nilikuwa najiona nimeshatoka kumbe naonekana ----!

Nje ya box - Weusi
 
Eli79 kuna mda muwe realistic, kuja kwako ni makubaliano ya wote wawili kutoroka ni kati ya mambo amabyo tunafanya kwa upendo ....hatuhitaji nusu ya mishahara yenu tunahitaji kuona huduma na maendeleo nipo na wewe nagain nini ? kiukweli kama ni mzigo aisee no no no..... mnasaidiwa huko nje
 
Last edited by a moderator:
Moja ya kosa kubwa sana kwa mwanaume yoyote anayejitambua ni kuto simamia financial issues za mkewe kisa eti anafanya kazi. Lazima nihusike katika plans na kutoa maamuzi, since she is in my empire; i will never let her build the empire of her own within my empire.

Mengineyo umenena miss...
 
Ni kweli dada yangu, utakuta mwanaume anajigambaa kuwa mkewe anampenda sana na deep inside anajua fika hakuna afanyalo kudeserve tht kind of treatment, shtuka jombaa kuna linjemba liko nyuma ya pazia..

huu ndiyo ukweli
 
[/QUOTE]

duuh!!! aiseeee!!!
mkuu genltesoul hii message naipinga tena kwa mikono miwili
piga galagaza fukia fukua halafu piga tena mimi bado nitapinga tu!!!!
hataki eti twende bar........ make your life easy as you can....!!!
 

YES this is what we call a man...
 
Duh! Kumbe mi bado sana. Yaani nilikuwa najiona nimeshatoka kumbe naonekana ----!

Nje ya box - Weusi

kijana pambana bwana heshima si kumpandia mkeo bali how you handle her
 
Sio kupanic wewe acha kuzarau papuchi njia iliyo kuleta duniani wewe hahahaha, leo hii waitukana na bado wapenda kurudi huko huko ulipo pitia

kwa hiyo we unaunga mkono povu alilotoa miss chagga ????
 
Mara nyingi watu hamuwez kulingana kipato,basi kama mwanamke anacho zaidi na amsaidie mwanaume lkn si kwa kuhonga au kunywea pombe bali kwa mambo yenye tija.
 

ukiona kuhudumia ndani kashindwa jua kuna mahali ujashika vizuri rafiki... jievaluate rafiki utaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…