Northern empire
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 358
- 463
- Thread starter
-
- #21
Kwani tatizo lipo wapi? Hata huyo ambae hajazaa anaweza kuwa ashapita kwa wanaume zaidi ya mia nane na mimba kashatoa kama zotee.. Af we unajisif umeoa kigoriKwahiyo kwa akili yako, kijana "fresh" wa kiume unaanzaje kuoa single maza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ni mwanaume rijali ila sipendi tabia ya kuwadharau hawa wanawake.. Kila mmoja anamapungufu. Huenda kakosea ila anamuda wa kujorekebisha na kurudi kwenye mstari ..
Kila mtu anawajibu wa kumhirumia mwenzake .. Kila afanyae makosa hatakiwi kudhihakiwa na kuonekana hafai bali laziama uelewe kuwa bado anaweza kurudi na kuwa mke mwema huenda kuliko yeyotee
Hao sealed labda umuumbe mwenyewe watu wanavizia vibinti vidogo vya shule ya msingi . Wanasema eti ni embe mbichi kwa hiyo wanakula kwa chumvi sasa jifanye kuwa hujui ila utapata tabuu kupata huyo sealedWrite your reply...wanawake wazuri wabichi wengine sealed kabisa wamejaa tele halafu unatushauri tuchukue makapi yaliotumiwa na wenzetu we boya kweli
Sperm donor.Wanathamani kubwa sana hao single mother. Na si kwmb wote hawana tabia njema au lah wamefny makusud kuwa ivyo. Je wale waliowazalisha wakakimbia nao tuwaiteje?
Ukute hujawahi kutana na bikra zako ni minung'aembe yenye mabwawaWrite your reply...wanawake wazuri wabichi wengine sealed kabisa wamejaa tele halafu unatushauri tuchukue makapi yaliotumiwa na wenzetu we boya kweli
5. Hivi huelewi kuwa wapo wanawake waliozaa bila mume ila ilitokea tuu bila kutarajia.? Yaan namaanisha walikuwa na mahusiano na hawakupanga wapate ujauzito ila ikatokea ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi hawa.. Mzoea vya kunyonga...Kila mtu anawajibu wa kumhirumia mwenzake .. Kila afanyae makosa hatakiwi kudhihakiwa na kuonekana hafai bali laziama uelewe kuwa bado anaweza kurudi na kuwa mke mwema huenda kuliko yeyotee
Sent using Jamii Forums mobile app