Wanaume acheni uongo juu ya wanawake

Write your reply...wanawake wazuri wabichi wengine sealed kabisa wamejaa tele halafu unatushauri tuchukue makapi yaliotumiwa na wenzetu we boya kweli
Hao sealed labda umuumbe mwenyewe watu wanavizia vibinti vidogo vya shule ya msingi . Wanasema eti ni embe mbichi kwa hiyo wanakula kwa chumvi sasa jifanye kuwa hujui ila utapata tabuu kupata huyo sealed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia ya mtu ndio kila kitu, fuatilia kwa nn aliachana na mumewe, kwa nn yuko peke yake?

Kama hana sababu genuine achana naye maana kuna kale kamsemo 'kupasha kiporo' though sio wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5. Hivi huelewi kuwa wapo wanawake waliozaa bila mume ila ilitokea tuu bila kutarajia.? Yaan namaanisha walikuwa na mahusiano na hawakupanga wapate ujauzito ila ikatokea ?


Sent using Jamii Forums mobile app

Namba tano usingeandika. Ni sawa na mtu kusema anao mkuyenge lakini hajui kazi yake na kama ukingiza kwa mwanamke atapata mimba.

Kauli hiyo ya ajabu aliwai kusema madam rita kwamba alipata mimba hakujua mimba ni nini na alipataje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtu unajua kabisa huwezi kuolewa na huyo mwanaume unabeba limimba la nini??! Pumbaaav
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom