bahati mbaya watanguliza pesa wote hawana lolote....chagua unachotaka. pesa usifikishwe kileleni au kutopata pesa ufikishweMpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana
Eti mtu kisa amekupa ela basi akiridhika yeye ndo basi. Kunipa hela ndo kosa? Unakuja unani donoa donoa juu unaniacha? Kihela chako ndo unitie shombo mimi?
Hela muendelee kutupa na kileleni mtufikishe. Mnakera sana hamjui tu.
Mtu mnapanga vizuri anakupa hela nyingi mpaka unasema yeeeees leo shughuli ipo. Mnafika twaa twaa tayari, kwani ni ghafla bin vuu? Mbona mnajitia aibu?
Mbadilike wajameni, nyie endeleeni kudhani hela ndo kitu pekee tunataka.
Lakini msiache kutupa hela though
Hakika umeeleweka mkuuAnayeandaliwa ni mke au mpenzi official. Wadangaji wote waje wakiwa wamejiandaa
Wee fala SI wa kiume wewe, afu unajufanya Dem, ngoja ukamuliwe shaur zakoMpaka nimekuja kuandika huku jamani mnakera, tabia hii inakera sana