Wanaume acheni mara moja hii tabia

We chukua hela kilimani tafuta deiwaka mtaani. Mungu hakupi vyote pesa na nguvu
 
Kwani bodaboda, watoto wa chuoni, machinga uwaoni hadi mtake kuua wazee wa watu
 
Kwa kweli hajakutendea haki
 
Uzi umejaa mapovu,tuvijana twa hovyo hatutaki kuambiwa ukweli,tukichapiwa tunaanza kukalamika
 
Mbona kinababa humu ndani mmepaniki?huyu Ni mwakilishi wa UWT....msimbeze
 
Tafuta pesa kawalipe wenye six parts wakuhudumie.
 
Sasa kama ukeni kumeota sugu tutawafikishaje kileleni?
 
Boda boda hawa hawa wanaomaliza Viagra pale pharmacy kwa Dada yangu flani [emoji848]

Hamna kitu hapo Mzee Baba [emoji38]
 
Uzi umejaa mapovu,tuvijana twa hovyo hatutaki kuambiwa ukweli,tukichapiwa tunaanza kukalamika
Hapo kwenye kuchapiwa ndipo utapotujua vizuri Me wa siku hizi tulivyo vilalamishi ilihali sisi wenyewe ndiyo chanzo kikuu cha Ke kuchepuka [emoji849][emoji2960]
 
Ila jf nlikua sijaielewa sasa ndo naanza kupata picha ya kinachoendelea humu😂 dah. Wanawake tutadharaulika hadi karne ya mia moja
 
Pesa upewe na bado kileleni ufikishwe ndo maana wanaume wanakufa mapema majukumu yanazidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…