The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Acha unafiki wewe kilaza tu una lolote hakuombe nani pesa wanaume tunajitambua atuwezi kuomba pesa Demu acha ushambaHi
Jomoni nimechoka kupigwa mizinga na wanaume.tuseme ukweli nikulishe,nikuvishe nilipie hadi lodge,mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni jomoni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume,kamwe
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa.Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz
Ni aibuuuu,wanaume sijui wamekuwaje siku hizi jomon
Siwezi kukuheshimu kama nakulisha, wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe
Oneni lady jdee,flora mbasha,ndoa zilifel kwakuwa waume walikuwa marioo
Badilikeni jomon
OkSi kuwa wanaume wamekuwaje, ni wewe tu, the type of men you attract. To put it bluntly.
There must be something about yourself au unachofanya that makes all Marioos flock to you. Change it!
How?kwani naishi maisha ya kawaida sanaUnavojiweka ndivyo hivyo utakavyobebwa
Wananifata wenyeweHuyo mwanaume mario ulitongozewa au ulijitongoza kwake?
Wakati unamkubali awe anakumang'anyua hukujua kua ni mario?
Hujaelewa point yanguunajua kupenda dada?kama unampenda mtu(sio kumtamani)lazima utamuheshimu.upendo na heshima havitengamani ndio maana baba yako hata kama unamtunza kwa kila kitu lazima utamheshimu tu.
Sasa hata ww kama co hamnazoHow?kwani naishi maisha ya kawaida sana
Sina hata mashauzi haya ya wadada wa mujini
Hao wanapenda wanaume wa kuwanyonya k! Obvious mwanaume wa uhakika sanasana ataweka kidole si ulimi katika k! Ukiona mwanaume anakubali kuingiza ulimi hata D2 lazima akuombe pesaHahitaji heshima kutoka kwako anachohitaji ni pesa
Kwan lazma uwakubaliWananifata wenyewe
Sijawahi tongoza mwanaume
Ila ndo ivo ni mariooo
Hadi kero
Ila sio vizuri kuwekea mfano wa ndoa za watu, mambo ya ndoa ni zaidi ya uhawala, kumsema Mbasha na Gardina its disgusting too.Hujaelewa point yangu
Kusaidiana kupo
Ila isiwe umenitongoza ili upate kitonga cha maisha
It's disgusting
Sawa mie kilaza sikataiAcha unafiki wewe kilaza tu una lolote hakuombe nani pesa wanaume tunajitambua atuwezi kuomba pesa Demu acha ushamba
Haha uwawahi kabla hawajakuwahi au sioOk
But trust me sijawahi watongoza hata mmoja,and I live a very normal life
Wa mwisho nilimwambia please don't ask me for money,coz alikuwa daily ananililia shida,akasema nimemdahlilisha
Me nimelelewa to find for my self,siombiombi hovyo
May be nianze kuwapiga mizinga kabla hahahah