Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 25,559
- 45,879
Yaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu
Najua utapita hapaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha heri ya mwaka mpyaKuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu
Najua utapita hapaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe si ulituambia umeolewa?Kuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu
Najua utapita hapaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo tar nne tu yaani hivi viapo hivi vitatutoa roho wallahKuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu
Najua utapita hapaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiolewa ndo moyo unaacha kupenda vitu vitamu?Wewe si ulituambia umeolewa?
Nimesikia kilio chako Mama, pole sana Mtoto mzuri, mi mwenyewe nilikuwa nashangaa kwanini ujitese nakati uliumbwa kwaajili yangu jamani?Kuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu
Najua utapita hapaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha rafiki mwambie ata kwa utani utani tu. Yeye ataelewa tuKuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu
Najua utapita hapaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kwa kufa kijerumaniKuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu
Najua utapita hapaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mwenyewe naogopa kulogwa. Bora tubaki hivi hivi marafiki tuKuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu
Najua utapita hapaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app