monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,485
- 13,016
Hapo sawa mkuu. But mtu ukimpenda mwambie tu. Haijalishi ni Ke/me.Upo sahihi mkuu. Ila namimi nasema katika ulimwengu wa roho na mwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitutaarifu kuwa ulichokitaka ulishakipata umesahau??Aiseee alinipa simu yake nachezea kwa uhuru nikapiga jicho kwenye sms anawaringia hatar wale wasichana nikasema mm acha nifee kikomandooo tu tuendelee na urafiki basii
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti kuna raia wanadai maria Magdalene alikuwa demu wa yesu jomoniNinaomba ile siku ya hukumu Yesu alegeze kamba kidogo kuhusu zinaa. Akiikaza kama ilivyo ile meza ya karamu itakuwa na watu wachache sana.
Tabloids zilianza long timeEti kuna raia wanadai maria Magdalene alikuwa demu wa yesu jomoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaa Ila Magdalene alikuwa anampenda yesu balaaTabloids zilianza long time
Una vituko weeeYaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah alimuosha miguu na kumkausha kwa nywele zake kisha alimpaka mafuta ya thamani kubwa.
Yaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si juzi tu hapa mlikua mna-diss wanaume?
Sasa hivi mnawatamani!
Nasubiri uzi wa tatu sijui utakuaje!
Hahahahahahaaa
Jitoe muhanga tu.Yaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hakuzini najua ila maria hakumpenda kimapenzi kweli.ile kucrush yaaniYah alimuosha miguu na kumkausha kwa nywele zake kisha alimpaka mafuta ya thamani kubwa.
Yesu hakuoa wala kufanya zinaa.
Shost hata wewe ukikutana na mwanaume super genius si utawish awe mume wako!Ni kweli hakuzini najua ila maria hakumpenda kimapenzi kweli.ile kucrush yaani
Sent using Jamii Forums mobile app
😱😱Yaani unakutana Na mkaka mzuri mpaka ananukia mahaba .Ila unakumbuka ushaapa mwaka huu hutaki kuzini.unaishia kutokwa mate tu
Sent using Jamii Forums mobile app