Wanaume acheni kututega mwaka mpya wa amani huu jamani

Kuna mkaka ni rafiki yangu sema handsome huyoo huwa nampenda angejua ninavyompendaa ila ndo sitaki kuzin nabaki naumia tu

Najua utapita hapaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikia kilio chako Mama, pole sana Mtoto mzuri, mi mwenyewe nilikuwa nashangaa kwanini ujitese nakati uliumbwa kwaajili yangu jamani?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom