Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,404
- 829,733
Madai yenu mnalenga kwenye kile kitundu kidogo cha kwenye sink, mnaumwa kweli




harufu ya fisi ndio ikoje @cariha

Nimekuelewa mpendwaMama hao usiwalazimishe kutawaza utakuwa unatwanga maji kwenye kinu bure, we tuendelee tu kushikilia hapo kwenye kumwaga maji chooni basi.
Hahaha umenikumbusha rafiki yangu huwa anasema hivyo pia
Hii Corona imesaidia kiasi hamna kushikana mkono
Sent using Jamii Forums mobile app



kwa kweli corona imesaidia kidogo, maana tunashika vingi jamani.Aliyekudanganya kuwa mkojo unanuka ukiwa juu ya sink tu ni nani? Hata unapokuwa ndani ya tundu lakini haujaflushiwa napo unanuka sana tu!Nalenga Tundu!
na wengine hata hawanawagi mikono baada ya kujisaidia haja ndogo
UTI unapataje kwa namna hii??Word kwa kweli nahisi hata UTI tunatoa kwao muda mwingine
Usikutane na mtu ambar hajajisaidia haja ndogo muda mrefu, au mlevi hajasafisha utajuta
Hahaha pia no huggingkwa kweli corona imesaidia kidogo, maana tunashika vingi jamani.

Kama hamna maji si heri nijikojoleeSure thing
Ubaya zaidi ukute hamna maji
Ndoo zenyewe zinatia kichefu chefu .
Sent using Jamii Forums mobile app

maana wipes majangaSawa daktariUTI unapataje kwa namna hii??
✓UTI unapata wewe mwenyewe kwa kushindwa kujisafisha vizuri baada ya haja kubwa..inabidi iwe front back na sio back front
✓UTI utapata kwa kutumia/kushika kitu kilichoshikwa na kuacha chembechembe za haja na wewe kwenda kushika sehemu zako
Mimi siwezi kuzitumia wipes yaani at least toilet paperKama hamna maji si heri nijikojoleemaana wipes majanga
hizo ndo zaidi maana hua nahisi inaacha midude vyake vikeee waiiiSisi tukisha temea hapo mate imetoka hiyo




Kwa hiyo hukunijua siku zotehizo ndo zaidi maana hua nahisi inaacha midude vyake vikeee waiii
Kwann umebadili jina mm napata tabu kukupata kule lindoni
Sikukufahamu kabisa jana kuna mtu kakutaja kule as rory nikaona nitulie isije kua kajichanganyaKwa hiyo hukunijua siku zote
Kuna mtu jina lilikuwa linaendana herufi za mwanzoni
Hahaha maji ndo yanafaa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app