Wanaume 20%, wanawake 80% ya uaminifu ktk mahusiano.!

Supervisor

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
559
207
Huyo ni utafiti umefanywa na shirika moja linaloshughulika na mambo ya kijamii. Hongereni wanawake..!
 
Binafsi ningependa kukifahamu chanzo ulichopatia taarifa hizo!pia nifahamu ni updated au la!ili ni weze fahamu vigezo vya kwa hili.
 
Huyo ni utafiti umefanywa na shirika moja linaloshughulika na mambo ya kijamii. Hongereni wanawake..!

ahsante supervisor.
Hata ukiangalia katika jamii ni kundi gani linalia kila siku kwa kutendwa utaona ni wanawake. Hiyo inamaanisha wanaume wengi uaminifu wao unakaribia 0.
 
naomba nisiwe bias kwenye hili kulia hakumaanishi kwamba basi ni watakatifu inaweza tukawa tunalia kwa sababu tu ya kufikiria watoto wetu au siku izi kuna speedmeter za kupima humu chini huu utafiti siuamini sana

Back
Top Bottom