Wanaume 10 wapotea Morogoro

Lengo lake anipangie cha kuandika kama yeye ndio mmiliki wa Jamiiforums
Viatu vya Samaki

Acheni bana nyie wanaume bana haifai kurushiana maneno hivyo uzi umegeuka uwanja wa vita ghafla hamuonani mnapoteza nguvu za nn nyuma ya keyboard kujibizana hivo?
 
Haujapangiwa, haya basi yaishe jamani sasa wanaume hua hawarushiani maneno na hata hivo mnajibizana hamjuani nini mnapoteza nguvu kwa vitu visivyo mana?
Lengo lake anipangie cha kuandika kama yeye ndio mmiliki wa Jamiiforums
 
Mpe elimu huyo kichaa aache kuniquote kabisa kama haelewi ninacho andika.
Haujapangiwa, haya basi yaishe jamani sasa wanaume hua hawarushiani maneno na hata hivo mnajibizana hamjuani nini mnapoteza nguvu kwa vitu visivyo mana?
 
YAANI NINGETAZAMA MAPEMA AVATAR WALA NISINGEJIBIZANA NAYE:

Naombeni kusamehewa nimeingia kwenye mtego wa mgonjwa wa akili aliyetoka hospitali kufanyiwa majaribio ya uponaji wake.
 
Sasa wewe ndio una tatizo huyo unaemwita kichaa hajasema kitu chochote kile wewe mzima ndio bado ngoma hutaki ilale? Mkuu hebu nyamaza mbona unakua kama sio mwanaume? Unamwita kichaa angeweza kutumia jf kweli kama angekua kkchaa?? Sio vizur unapoambiwa jambo jaribu kutafakari hiki ukifanyacho sio sahihi
Mpe elimu huyo kichaa aache kuniquote kabisa kama haelewi ninacho andika.
 
Nani amekuambia Avatar ndio kigezo cha akili,mfano mtu akiwa anapenda kumaa ndio anakuwa hana akili.
Wewe ni mpumbavu,huna akili.
YAANI NINGETAZAMA MAPEMA AVATAR WALA NISINGEJIBIZANA NAYE:

Naombeni kusamehewa nimeingia kwenye mtego wa mgonjwa wa akili aliyetoka hospitali kufanyiwa majaribio ya uponaji wake.
 
Yeye mwenyewe anaendelea na kichaa chake anashangaa vitu ambavyo anapenda sana.
Mimi sifichi napenda sana kutia kuliko vitu vingine.
 
Hayo mimi hayanihusu we tia utakavyo lakini wanaume hua hawako hivi nyie mmeumbiwa mioyo migumu hizi mambo za kurushiana maneno ni sisi watoto wa kike tunafanya

Unaishi nao hivo hivo wajua kama binadam sote tungekua tunafanya mema tu kusingekua na kitu cha kujifunza kwa kweli ndio mana tuko tofauti kuna wabaya na wazuri ili tupate kujifunza miongoni mwetu na hasa mtu ukishamsoma tu unajua namna ya kumuepuka
Kabisa, tena wabaya kweli.
 
Sawa ngoja nikaoge ili nijiandae kutafuna hapa kuna mtu amefika tayari kwa kazi maalum ya usiku.

Kweli kabisa.
 
Unahitaji nn sasa tuje tukushikie miguu?? Hayo ni mambo yako binafsi mkuu muhimu ibilisi kapita hilo ndio kubwa
Sawa ngoja nikaoge ili nijiandae kutafuna hapa kuna mtu amefika tayari kwa kazi maalum ya usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…