WanaUKAWA wa Scotland mambo magumu

WanaUKAWA wa Scotland mambo magumu

Wakuu,
Hawa wana "UKAWA" wa Scotland walionekana mambo yao yatakuwa shwari na watawadanganya wapiga kura wakubaliane nao lakini wengi walishtuka na kupiga kura za "No to Independence!"
Huku kwetu nako wana-UKAWA wa kikweli kweli wanaamini kuwa watawashawishi watu wakubaliane na Serikali 3 (= kuvunja Muungano) lakini hila zao zitashindwa vibaya baada ya kura za maoni ili kupigia kura Katiba Mpya!
Poleni sana wana-UKAWA! Watu wameshaamka, wamegundua hila zenu!

Yote umesema tumekuelew. Sasa hebu itisha kura ya maoni Zanzibar uone kitu. Scotland wana kila kitu ktk muungano wao. Pia muungano wao ni nchi 4 na kuna kila nchi ina serikali. Ndo maana hata FIFA wamo. Ila wana serikali ya shirikisho ya United Kindom
 
Takribani 44% ya wascoch wamekataa muungano, hizi sio asilimia za kubeza
 
Wakuu,
Hawa wana "UKAWA" wa Scotland walionekana mambo yao yatakuwa shwari na watawadanganya wapiga kura wakubaliane nao lakini wengi walishtuka na kupiga kura za "No to Independence!"
Huku kwetu nako wana-UKAWA wa kikweli kweli wanaamini kuwa watawashawishi watu wakubaliane na Serikali 3 (= kuvunja Muungano) lakini hila zao zitashindwa vibaya baada ya kura za maoni ili kupigia kura Katiba Mpya!
Poleni sana wana-UKAWA! Watu wameshaamka, wamegundua hila zenu!

Angalau wameonesha demokrasia kwa kuwaruhusu kupiga kura na kuamua kama wanataka au hawataki. Wapeni hiyo chance Zanzibar muone kama kutabaki na muungano.
 
Chance walopewa mwaka 1964 wakatia sahihi, huelewi tu? Sasa hivi wamejaa kule Dodoma kupigia kura Serikali 2!
 
Back
Top Bottom