WanaUKAWA wa Scotland mambo magumu

WanaUKAWA wa Scotland mambo magumu

Buchanan

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2009
Posts
13,192
Reaction score
1,976
Wakuu,
Hawa wana "UKAWA" wa Scotland walionekana mambo yao yatakuwa shwari na watawadanganya wapiga kura wakubaliane nao lakini wengi walishtuka na kupiga kura za "No to Independence!"
Huku kwetu nako wana-UKAWA wa kikweli kweli wanaamini kuwa watawashawishi watu wakubaliane na Serikali 3 (= kuvunja Muungano) lakini hila zao zitashindwa vibaya baada ya kura za maoni ili kupigia kura Katiba Mpya!
Poleni sana wana-UKAWA! Watu wameshaamka, wamegundua hila zenu!
 
Scotland walitaka uhuru na kujitenga kila mtu awe na serikali yake, yaani ile moja ziwe mbili!!! Ukawa wanataka tatu na muungano uendelee, sasa wewe uwezo wako wa kifikiri jumlisha na kukosa usingizi kisa Ukawa unatumwagia hizi pumba hapa. Fikiria, ukawa wanazungumza kuhusu muundo wa muungano si kuvunja muungano. Kusoma Rasimu ya Katiba huwezi au hujui kusoma urudi shule?
Istoshe, hayo ni Matakwa mawili tofauti. Acha kujitoa akili
 
Rudi shule ukapanue akili ..... unajaza pumba zako tu hapa!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu,
Hawa wana "UKAWA" wa Scotland walionekana mambo yao yatakuwa shwari na watawadanganya wapiga kura wakubaliane nao lakini wengi walishtuka na kupiga kura za "No to Independence!"
Huku kwetu nako wana-UKAWA wa kikweli kweli wanaamini kuwa watawashawishi watu wakubaliane na Serikali 3 (= kuvunja Muungano) lakini hila zao zitashindwa vibaya baada ya kura za maoni ili kupigia kura Katiba Mpya!
Poleni sana wana-UKAWA! Watu wameshaamka, wamegundua hila zenu!

Umetumia maneno mawiliambayo yanafanya hoja yako yote ionekana haina nguvu tene.Umesema "watawadanganya" na la pili ni "walishtuka"
Naamini umeshajibiwa kuwa hoja za UKAWA si sawa na za Scotland lakini pia kama ni suala la mgawanyo wa serikali za muungani si wao walioanzisha bali tume ya Warioba ambayo ilitumia rejea na tafiti mbalimbali.
Ukitaka ku comment kuhusu mambo haya ni lazima usikilize Radio mbalimbali na kusoma magazeti na majarida (si UHURU na MZALENDO).Ikiwa unsoma Ijumaa weekenda na vitabu vya Shigongo,very sorry tutakushukia kwa virungu.
 
Scotland walitaka uhuru na kujitenga kila mtu awe na serikali yake, yaani ile moja ziwe mbili!!! Ukawa wanataka tatu na muungano uendelee, sasa wewe uwezo wako wa kifikiri jumlisha na kukosa usingizi kisa Ukawa unatumwagia hizi pumba hapa. Fikiria, ukawa wanazungumza kuhusu muundo wa muungano si kuvunja muungano. Kusoma Rasimu ya Katiba huwezi au hujui kusoma urudi shule?
Istoshe, hayo ni Matakwa mawili tofauti. Acha kujitoa akili

we nae kwa kujitoa akili umejaaliwa sana. Hivi kwa akili zako unadhani katika viongozi wa UKAWA yupo hata mmoja anayependa muungano uendelee? Nitajie, na endapo hila zao zitafanikiwa (Mungu atuepushie mbali) Ndipo hasa utawagundua undani wao. Ni wanafiki wakubwa na hawautaki Muungano kabisaa.
 
Hyu jamaa vp, kama hajielewi vile. Hawa wanamsikiliza Nape sana ndo maana anatema pumba. Acheni kupotosha mambo bhana. Serikali tatu si kuvunja muungano, ni kuimirasha muungano wenye mgawanyo bora wa madaraka na rasilimali.
 
Watu wanajitoa ufahamu tu lakini issue hizi ziko sawa.
 
we nae kwa kujitoa akili umejaaliwa sana. Hivi kwa akili zako unadhani katika viongozi wa UKAWA yupo hata mmoja anayependa muungano uendelee? Nitajie, na endapo hila zao zitafanikiwa (Mungu atuepushie mbali) Ndipo hasa utawagundua undani wao. Ni wanafiki wakubwa na hawautaki Muungano kabisaa.
Una akili sana mkuu! Ulterior motive ya UKAWA ni kuvunja Muungano na ndio maana waliwatukana hata Waasisi wa Muungano!
 
Watu wanajitoa ufahamu tu lakini issue hizi ziko sawa.
Kweli mkuu! Hata yule kiongozi wa "UKAWA - SCOTLAND" kajiuzulu, "UKAWA - TANZANIA" nao "walijiuzulu" toka kwenye Bunge Maalum la Katiba!
 
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Una akili sana mkuu! Ulterior motive ya UKAWA ni kuvunja Muungano na ndio maana waliwatukana hata Waasisi wa Muungano!

usilolijua litakusumbua,serikal 3 siohoja ya ukawa, pili muungano hauvunjwi na idadi ya serikal.mwisho hizo idad zimependekezwa na wananchi na warioba akaziratibu. sasa mwekiti angekuwa mbowe,slaa au mtu yeyote anayetoka upinzani si ndo pangechimbika?.Warioba mlimwamini tukamwamini ila mnachomfanyia sio sahihi labda kama mnamakubaliano naye ya siri.
 
Mkuu katika pitapita zako mtaani umewahi kusikia watu wanazungumzia kukerwa na Serikali 2?
Wanaokerwa na Serikali 2 ni Warioba na baadhi ya wana-UKAWA tu, labda na wale wananchi elfu 17; only that!
 
Mtoa Mada,sasa kwann ccm hawataki referendum kujua kama wananchi wanautaka au hawautaki? kipi kinawazuia magamba?zanzibar kwanza.
 
Last edited by a moderator:

Nani kakwambia kwamba CCM hawataki referendum? Kila jambo lina wakati wake! Wana-UKAWA wao ni kulazimisha kila kitu kifanyike wanavyotaka wao!
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada haelewi aina ya Muungano wa Uingereza. Tanzania tunataliwa tunatakiwa tuwe na Muungano kama wa Uingereza, ndiyo maana mpaka kesho utaona nchi zilizo unda UK bado zinatambulika kwa majina yake. Sisi inayotambulika ni Zanzibar pekee, nchi nyingine iliyoungana na Zanzibar haijulikani-sijui ni mzimu?

Pia Uingereza ilikuwa haiandiki Katiba, kwanza uingereza hawana katiba mmoja kama ya kwetu. Pili Tanzania haiko kwenye referendum ya kukubali au kukataa Muungano. Hivyo kulinganisha vitu hivi inanipa tabu kidogo kuhusu akili ya mleta mada.

Hoja kama hii, hata mganga wa jadi Mzee Kingunge hawezi kubashiri hivyo.
 
Back
Top Bottom