hayawi hayawi yamekuwa,vijana wa chuo kikuu cha dsm wanapo ktk maandamano ya amani kuelekea ikulu kupeleka malalamiko yako kwa mh.mkwere labda anaweza wasikiliza na madai yao,wanakwenda na hoja mbili..mosi,je raisi anajua dai lao waliloomba kupandishiwa hela toka 5000tsh to 10000tshs,pili,kama hajasikia ndio wanampa taarifa...tatu-kuhusu dowans hamna haja ya kuilipa kwani inaongoza matumizi na bei ya vitu buuuuure.,waungwana wanajf hv ni kweli mkwere yupo ikulu kweli au yupo nje ya nchi ?...muda huu wapo mwenge,aluuuuta continua....
Poa saa wazee Tuko pamoja.
Maisha magumu namna hii tutaishije kwa Tsh5000/=(elfu tano) ili hali kila kitu wao
wamepandisha? Je, wao wanaweza kuisavaiv kwa kiasi hiki?
Hapa bila kufanya kama Tunisia au Egypt Hakitaeleweka!
Ilikuwa miaka hiyoana uchungu mwanae RIZIWAN ALILIPWA ALFU 5 KWA NINI WENGINE WASHINDWE KUISHI
kweli kabisa ujue wanataka wapite ushuani oysterbay, upanga , ocean view ndo ikulu hahaa, hawapati hata wa kuwashangilia along the way, wangekatiza morogoro road wangepick vichwa along!updates please.
natamani wangepita Morogoro road.
Am sure wangepata Mass Support ingekuwa ni Noumer