Wanatwangwana baada ya kumfumani......

dume zima lagaragazwa na binti, loh aibu
 
Unafiki mtupu. Kama wote wamekula tunda ugomvi wa nini? Tit for tat au siyo?
 
Mamaaaaaaaaaaaaaaaa! anakula pentagon!:director:
 
Sio fumanizi hilo, jamaa kanywea pombe hela ya upatu ya mkewe!
 
Jamaa lazima kakopa kopo la kangara halafu hataki kulipa ; mama muuza kaamua kumpa kichapo!!
 
Duh!Dada anataka kunyofoa na kualibu kiwanda!!
 
nahisi mayai kuliwa yangali mabichi.
 
huyu mwanamme gani anakunjwa namna hiyo!!anashindwa hata kumng'ata!!!
 
Ukiangalia picha vizuri mwanaume ni mlemavu wa mkono nadhani ndio maana kampata sio kirahisi natamani ningekuwepo huyo mwanamke angenikoma kuonea walemavu!
 
umekunywa ulansi wangu kulipa hutaki, leo ndo utanitambua nakwambia
 
mhh wenzenu ndo wako foreplay nyie mnasema wanapigana....:juggle:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…