Wanatafuta wahalifu.

wacha tu niwe mhalifu kwa muda
 
Haapa lazima NIJIHALIFISHE walau waniweke chini ya ULINZI kwa muda🙂
 
Mimi nitafanya uhalifu makusudi ili nitiwe nguvuni na hao
 
Hey!.Nawaombeni Mukuje Uku.Nimeshaua Mtu Sitaniiiii...
 
hawa ndio walitoa tamko la kutoishambulia Tz
 
Kama hako ambacho hakajavaa kofia kikija huku, nakafanyia uhalifu kwanza then naelekea central
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…