Wanataaluma Wakatoliki: Kanisa Katoliki si jukwaa la maigizo ya kisiasa wala taasisi inayoweza kushughulikiwa kwa mbinu za mkato!

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
878
Reaction score
3,920
Kwa Niaba ya: Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki – Tanzania

Dr Nagaikaya Thomas M (PhD)
The Catholic Professionals of Tanzania
Dar es Salaam
Tanzania

Kuhusu: Masuala ya Mahusiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Vatican, Utendaji wa Kanisa Katoliki, na Heshima ya Mifumo ya Kikanisa:

Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki, kikiwa ni jumuiya ya wasomi na wataalamu wanaolihudumia Kanisa kwa uaminifu wa kiakili, kimaadili na kitaasisi, kinatoa taarifa hii rasmi ya maoni kwa umma, kwa nia ya kuweka sawa uelewa wa kweli kuhusu namna Kanisa Katoliki linavyofanya kazi, nafasi yake katika jamii, na mahusiano yake na dola na taasisi za kimataifa.

1. Kanisa Katoliki ni Taasisi ya Kisheria, Kihierarkia na Kitaaluma:

Kanisa Katoliki si jukwaa la maigizo ya kisiasa wala taasisi inayoweza kushughulikiwa kwa mbinu za mkato. Ni taasisi ya kale yenye sheria zake (Canon Law), nidhamu ya juu, na muundo wa ki-hierarchical unaoheshimika duniani kote.

Maamuzi, mawasiliano na mahusiano yake hufuata taratibu zilizoainishwa wazi na zinazotambulika kimataifa.

2. Vatican na Njia Halali za Mawasiliano ya Kikanisa:

Ni msimamo wetu wa kitaaluma kwamba Vatican haifanyi kazi nje ya mifumo halali ya Kanisa. Papa, kama Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, hapokei taarifa, wala kufanya maamuzi, nje ya sheria na taratibu za Kanisa.

Kwa Tanzania, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ndicho chombo halali cha mawasiliano kati ya Kanisa la ndani na Vatican. Kupitia TEC, taarifa huandaliwa, kuchambuliwa na kuwasilishwa kwa uhalali unaotambulika.

Ndani ya mfumo huo, Katibu Mkuu wa TEC (Padre Dr Charles Kitima) ndiye msimamizi wa kitaasisi wa mtiririko wa taarifa na mawasiliano ya Kikanisa.

Kwa hiyo, kuruka ngazi na kutegemea mapokezi chanya Vatican bila kupitia TEC ni kinyume na utamaduni, sheria na utendaji wa Kanisa Katoliki.

3. Kanisa Katoliki Lina Mtandao Mpana wa Taarifa Duniani:

Ni muhimu kukumbusha kuwa Kanisa Katoliki lina mtandao mpana wa taarifa katika kila kona ya dunia kupitia Maaskofu, Mabalozi wa Kitume (Apostolic Nuncios), taasisi za haki za binadamu, mashirika ya kijamii, na waamini wake.

Kwa mantiki hiyo, Kanisa haliwezi kudanganywa kwa simulizi za juu juu, propaganda au taarifa zilizochujwa.

4. Wajibu wa Serikali Kuheshimu Kanisa na Kulinda Heshima yake:

Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki kinasisitiza kuwa heshima ya Kanisa huanza ndani ya nchi. Kabla ya jitihada zozote za kidiplomasia nje ya mipaka, kulikuwa na wajibu wa kushughulikia:

1.Vitendo vya uzushi, kejeli na udhalilishaji wa Kanisa Katoliki vinavyofanywa na makundi yanayojitambulisha kama “Wakatoliki” bila uhalali wa Kikanisa,

2.Makundi ambayo kwa matendo yao yanalichafua Kanisa na kuwapotosha waumini,

3. Kuhakikisha kuwa hakuna ulinzi wa kisiasa unaotolewa kwa vitendo vinavyodhalilisha Kanisa, hata pale wahusika wanapojificha chini ya taswira za vyama vya siasa

Hatua hizi ndizo zingetoa ishara ya kweli kwamba serikali na chama tawala vinajitenga wazi na udhalilishaji wa Kanisa Katoliki

5. Msisitizo wa Vatican: Haki, Ukweli na Uponyaji wa Taifa:

Kwa mujibu wa taarifa sahihi zilizopo Vatican, msimamo wa Holy See umejikita katika misingi ya haki na ukweli, ikiwemo:

Wito wa kuitisha uchunguzi huru wa kimataifa na wa haki kuhusu matukio ya uchaguzi wa Oktoba 29 na siku zilizofuata

Kuwa, matokeo ya uchunguzi huo yatumike kuliponya taifa, kukuza maridhiano, na kurejesha imani ya wananchi katika mifumo ya haki na demokrasia.

Huu ni msimamo wa kudumu wa Kanisa Katoliki duniani kote: amani ya kweli haiwezi kujengwa bila haki

6. Hitimisho: 👇

Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki kinapenda kuweka bayana kwamba:

Kanisa Katoliki halirukiwi ngazi; linaheshimiwa kwa kufuata taratibu zake,

Halifanyi kazi kwa picha, kauli au shinikizo la kisiasa,

Na litasimama daima upande wa haki, ukweli, na utu wa binadamu, hata pale msimamo huo unapokuwa mgumu kisiasa

Tunatoa wito kwa wadau wote serikali, vyama vya siasa na jamii kwa ujumla kuliheshimu Kanisa Katoliki kama taasisi huru, ya kimaadili na ya kitaasisi, na kushirikiana nalo kwa uaminifu, ukweli na kwa njia halali

Imetolewa na:

Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki (CPT)– Tanzania

Kwa ajili ya haki, ukweli, na ustawi wa Taifa.
 
Kwamba Kitima hakwepeki!
 
Kwa hiyo lile limacho kumchuzi la jalalani lilifikiriwa Holy see inavamiwa kifitina fitina?? ICC ni lazima trust me!
 
Ndani ya mfumo huo, Katibu Mkuu wa TEC (Padre Dr Charles Kitima) ndiye msimamizi wa kitaasisi wa mtiririko wa taarifa na mawasiliano ya Kikanisa.

Kwa hiyo, kuruka ngazi na kutegemea mapokezi chanya Vatican bila kupitia TEC ni kinyume na utamaduni, sheria na utendaji wa Kanisa Katoliki.
 
Kanisa Katoliki Lina Mtandao Mpana wa Taarifa Duniani:

Ni muhimu kukumbusha kuwa Kanisa Katoliki lina mtandao mpana wa taarifa katika kila kona ya dunia kupitia Maaskofu, Mabalozi wa Kitume (Apostolic Nuncios), taasisi za haki za binadamu, mashirika ya kijamii, na waamini wake.

Kwa mantiki hiyo, Kanisa haliwezi kudanganywa kwa simulizi za juu juu, propaganda au taarifa zilizochujwa.
 
. Wajibu wa Serikali Kuheshimu Kanisa na Kulinda Heshima yake:

Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki kinasisitiza kuwa heshima ya Kanisa huanza ndani ya nchi. Kabla ya jitihada zozote za kidiplomasia nje ya mipaka, kulikuwa na wajibu wa kushughulikia:

1.Vitendo vya uzushi, kejeli na udhalilishaji wa Kanisa Katoliki vinavyofanywa na makundi
yanayojitambulisha kama “Wakatoliki” bila uhalali wa Kikanisa
 
Chama cha Wanataaluma wa Kanisa Katoliki kinapenda kuweka bayana kwamba:

Kanisa Katoliki halirukiwi ngazi; linaheshimiwa kwa kufuata taratibu zake,

Halifanyi kazi kwa picha, kauli au shinikizo la kisiasa,
1769625055891.jpg
1769623992843.jpg
 
Kwa Tanzania, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ndicho chombo halali cha mawasiliano kati ya Kanisa la ndani na Vatican. Kupitia TEC, taarifa huandaliwa, kuchambuliwa na kuwasilishwa kwa uhalali unaotambulika.
Kanisa Katoliki halirukiwi ngazi; linaheshimiwa kwa kufuata taratibu zake,
Halifanyi kazi kwa picha, kauli au shinikizo la kisiasa,

1769706831186.png
 
CCM walifikiri Kanisa Katoriki sawa na lile la Mwamposa, mil 10 tu za sadaka miguu chanuuu - ha ha ha ha

Mnamruka Nchimbi anajua kila kitu angewasaidia sana.

Aibu hii uso wa Tanganyika tunauwelq wapi ndugu zangu.
Mkapa,Magufuli,Mpango na wengineo wengi akiwemo Nchimbi Walikuwa na Wana wajibu wa kulitumikia kwa uaminifu kanisa kupitia taaluma zao!
 
Back
Top Bottom