Wanasumbawanga tufanye mageuzi ya mbunge 2015

tetea tete

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2015
Posts
388
Reaction score
127
Wanasumbawanga kama ni mateso ya kukosa maendeleo inatakiwa sasa tuseme BASI .CCM imekuwa inatuburuta miaka nenda miaka rudi Na kutufanya wanasumbawanga kuwa MASIKINI licha ya kuwa ni miongoni mwa mikoa inayozalisha mahindi lakini wananchi wake ni masikini Na sababu kubwa ni kutokuwa Na VIONGOZI wenye uwezo Ubunifu Wa kutafuta MASOKO kwa mazao ya wanasumbawanga.

Wito kwa wanasumbawanga tuchague mgombea Mwenye upeo mkubwa msomi tuachane Na viongozi toka CCM waliokimbia SHULE.
 
Mkuu unafahamu ccm imempitisha nani kama mgombea wa ubunge?
 
Mbona unakimbilia udini una wasiwasi gani .kinachohitajika ni maendeleo nayo hayaletwi Na aliyehasi SHULE maendeleo yanataka ELIMU Mkuu wakati umefika Wa kuwa Na MBUNGE aliyeenda shule .
 
Ww unamtaka nani awe mbunge wa s'wanga mjini?
Na tupe mfano wa majimbo yanayoongozwa na maprof na ma dr ambayo yamepiga hatua na hayana maskini na yenye masoko mazuri ya bidhaa zinazo limwa ktk majibo hayo...
Zaidi ya hayo nataka nikukumbushe kuwa mkoa wa rukwa wote kabla ya uwongozi wa JK ulikwa na barabara za lami mbovu isiyozidi km 8 hapa nipamoja na mkoa wa katavi kabla haujagawiwa.
Leo hii kwa miaka 10 tu ya JK Mkoa wa rukwa pekee bila mkoa wa katavi una barabara za lami zisizo punguwa km 400.
Achilia mbali shule za msingi sekondari na vyuo vya taaluma tofauti.
Achilia mbali zahati vituo vya afya na hospitali.

Hapa bado mawasiliano ya mitandao tofauti.
Unapo taka kulinganisha mambo ni lazima uwe na takwimi sahihi za kila sekta sio kuzungumza kama vile uko ktk bar na vijiwe vya watu wavivu.
Na ukumbuke hakuna tawala zinazo mpa mtu cash tawala kazi yake ni kutengeneza FURSA kama binadamu mkamilifu unatakiwa kukimbizana na fursa sio kukaa virabazani na kulaumu tu tawala na kungangania ushabiki tu.
Mkoa wa rukwa una fursa nyingi tu za kuweza kukutoa lakini kama utakaa utamsikiliza NKOSWE basi utasubiri sana huyo mzee muda wake wa kutumia fursa za mkoa zimepita.
Fursa iliyobaki kwake ni mdomo tu kama ww ni waina ya huyo mzee basi ujue kuutumia vyema mdomo wako.
Fanya kazi achana na siasa za maji taka epuka makundi ya kijinga yanayo wagawa watz kwa udini na ukabila maana hapo kwenu swanga tokea jimbo liongozwe na aesh imekuwa tabu sana udini ukabila unetawa mpaka unatia kinyaa.
Aesh ataondoka tu kama sio leo nikesho ameondoka Mzindaka aliekaa miaka zaidi 40 itakuwa aesh?
Lakini kama mutaendeleza kasumba zenu za udini na ukabila pindi akiondoka aesh mujue mutalana wenyewe kwa wenye.
Hamutabaki salama mutaanza huyu RC mm ANGLIKAN MM SABATO MM LUTHALAN NK.
Mara ikuwo sio mfipa mara huyu mnyachusa nk.
Almuhim ubaguzi hauna barka za mungu hakuna mungu anaebariki ubaguzi..NAWAKILISHA.;;
 
Wanasumbawanga kama ni mateso ya kukosa maendeleo inatakiwa sasa tuseme BASI .CCM imekuwa inatuburuta miaka nenda miaka rudi Na kutufanya wanasumbawanga kuwa MASIKINI licha ya kuwa ni miongoni mwa mikoa inayozalisha mahindi lakini wananchi wake ni masikini Na sababu kubwa ni kutokuwa Na VIONGOZI wenye uwezo Ubunifu Wa kutafuta MASOKO kwa mazao ya wanasumbawanga.

Wito kwa wanasumbawanga tuchague mgombea Mwenye upeo mkubwa msomi tuachane Na viongozi toka CCM waliokimbia SHULE.
Hebu tuanze na hili..... Mmeacha uchawi??
 
Ww unamtaka nani awe mbunge wa s'wanga mjini?
Na tupe mfano wa majimbo yanayoongozwa na maprof na ma dr ambayo yamepiga hatua na hayana maskini na yenye masoko mazuri ya bidhaa zinazo limwa ktk majibo hayo...
Zaidi ya hayo nataka nikukumbushe kuwa mkoa wa rukwa wote kabla ya uwongozi wa JK ulikwa na barabara za lami mbovu isiyozidi km 8 hapa nipamoja na mkoa wa katavi kabla haujagawiwa.
Leo hii kwa miaka 10 tu ya JK Mkoa wa rukwa pekee bila mkoa wa katavi una barabara za lami zisizo punguwa km 400.
Achilia mbali shule za msingi sekondari na vyuo vya taaluma tofauti.
Achilia mbali zahati vituo vya afya na hospitali.

Hapa bado mawasiliano ya mitandao tofauti.
Unapo taka kulinganisha mambo ni lazima uwe na takwimi sahihi za kila sekta sio kuzungumza kama vile uko ktk bar na vijiwe vya watu wavivu.
Na ukumbuke hakuna tawala zinazo mpa mtu cash tawala kazi yake ni kutengeneza FURSA kama binadamu mkamilifu unatakiwa kukimbizana na fursa sio kukaa virabazani na kulaumu tu tawala na kungangania ushabiki tu.
Mkoa wa rukwa una fursa nyingi tu za kuweza kukutoa lakini kama utakaa utamsikiliza NKOSWE basi utasubiri sana huyo mzee muda wake wa kutumia fursa za mkoa zimepita.
Fursa iliyobaki kwake ni mdomo tu kama ww ni waina ya huyo mzee basi ujue kuutumia vyema mdomo wako.
Fanya kazi achana na siasa za maji taka epuka makundi ya kijinga yanayo wagawa watz kwa udini na ukabila maana hapo kwenu swanga tokea jimbo liongozwe na aesh imekuwa tabu sana udini ukabila unetawa mpaka unatia kinyaa.
Aesh ataondoka tu kama sio leo nikesho ameondoka Mzindaka aliekaa miaka zaidi 40 itakuwa aesh?
Lakini kama mutaendeleza kasumba zenu za udini na ukabila pindi akiondoka aesh mujue mutalana wenyewe kwa wenye.
Hamutabaki salama mutaanza huyu RC mm ANGLIKAN MM SABATO MM LUTHALAN NK.
Mara ikuwo sio mfipa mara huyu mnyachusa nk.
Almuhim ubaguzi hauna barka za mungu hakuna mungu anaebariki ubaguzi..NAWAKILISHA.;;

Mkuu una matatizo wewe maana sijui izo barabara za lami zimejengwa wapi katavi?..wakati kote uko wananchi washawachoka na ahadi zenu hewa,kama unakumbuka chaguzi ndogo zilizopita mwishoni mwa mwaka jana CCM yako ilishinda vitongoji vitano tu katavi uku Wapinzani wakashinda vitongoji 244...sasa kuna nini tena hapo??,haya embu tujikumbushe ushindi wa JK katika awamu zote mbili ndugu...mwaka 2005 alishinda kwa asilimia 80%...ikaja mwaka 2010 ambapo alishinda asilimia 61% huku ikiwa ni tofauti ya 19% hapo na kumbuka huwa mnaibaga kura nyie...kwa ushindi huo wa asilimia 61% mwaka 2010 je mwaka huu(2015) zikipungua tena 19% ni nini kitatokea ndugu???...na kipindi kile wapinzani hawakuungana sasa wameungana lazima mje kujuta nyie ifikapo OCTOBER-25TH maana mkumbuke CCM mmevuruga mambo mengi sana katika kipindi cha miaka-10 ya JK kam walimu kukosa mishahara muda muafaka na kucheleweshewa pesa hadi miezi mitatu pindi wanapoenda katika vituo vipya vya kazi na ukumbuke mwenyekiti wao alikuwa mlimani City juzi kwenye hafla ya UKAWA,madaktari waligoma mishahara haikidhi hivyo muwaongezee kidogo mlichofanya mkatia pamba masikio yenu mkaishia kumteka na kumtesa mwenyekiti wao ulimboka msitu wa pande na hamkutekeleza uku mkijiongezea posho za maudhurio ya vikao vya bunge kutoka elfu 70 hadi laki 2 kwa siku pia kumbuka katika utawala wa serikali dhalimu ya JK mwaka huu mafao ya wabunge yameongezwa kutoka MILLION 100 hadi MILLION 230 uku walimu na mapolisi wakiwa wanalipwa mishahara kiduchu,pia kuna wanachuo mliowazingua mikopo vyuoni na wapo wengi kwasasa,pia bado kuna wafanya biashara mliowasumbua na kuwapotezea muda wao na hasara juu pindi walipofunga biashara zao maana wafanya biashara wengi wa k/koo wanaendesha biashara zao kwa mikopo ya mabenki yote kwa sababu ya kung'ang'ania kuwauzia mashine za TRA kwa bei zenu za juu mzitakazo nyie,bila kuwasahau bodaboda mliowasumbua na kuwahujumu kwa kutengeneza mradi wenu binafsi wa kila bodaboda itakayoingia mjini huku dar lazima iwe na kibali kinacholipiwa manispaa laki moja kwa miezi-6,bila kuwasahau machinga mliowasumbua kwa kuwapelekea mgambo wenu wa city waliowamwagia na kukamata biashara zao na kuwapiga virungu pia na ndio maana ata juzi kwenye kumpokea magufuli lumumba kwa wanaCCM wote waliokatiza mitaa ya k/koo hasa CONGO walizomewa kwa kuambiwa "WEZI HAO"...huku wakikimbizwa na kujambishwa na honi za pikipiki kwa nyuma na makundi ya madereva bodaboda...kwa hayo ya harakaharaka mliyowafanyia wananchi kuna kushinda hapo ndugu????...au ndo kujipa moyo tu kwa bao la mkono?????,lazima mjute kuwa watesi kwa wananchi wenu awamu hii (mwaka-2015) na hata magufuli wako akikosa urais asijilaumu kabisa akae akijua CCM IMEJIKAANGA KWA MAFUTA YAKE YENYEWE!!!
 
Attachments

  • IMG_20150729_140246.jpg
    IMG_20150729_140246.jpg
    7.2 KB · Views: 571

Kwaza mm sijasema mkoa wa katavi unalami kiasi hicho cha km 400 nisome vizuri nimesema mkoa wa rukwa una km sizo pubguwa km 400 bila mkoa wa katavi.
Halafu unaonekana hupendi hupendi serikali inayo simamia sheria.
Unapenda serikali ya hovyo isiyo semima sheria.
Ndio maana unatetea wamachinga kuzagaa mitaani kko bila sheria za jiji kufuatwa.
Hata hao madr unaosema nikatika hao waliogoma bila kufuata sheria.
Unapozungumzia ushindi wenu wa miaka ya nyuma usilinganishe na unao kija.
Kumbuka leo hunae zzk, slaa, lipumba nk.
Leo munae mtu mulie mtangaza kuwa nifisadi alie filisi nchi hii.
Sasa mujue kama wtz wanaakili sio kama munavyo taka kuwaamisha.
 
Kumbe unalijua kwamba watanzania tunayo Akili ehh, wakati hayo yote yanatokea wenzako wako wanagawani mabilioni ya pesa za ESCROW, jitambue mkuu nchi ipo pabaya wanaofaidi ni akina Ridhiwani
 
Nchi haiko pabaya chadema na cuf ndio mko pabaya.
Ivi ww unategemea mtto wa rais awe na maisha ya shida unaakili kweli ww?
Mtt wa mtei tu anaishi maisha ya raha achilia mbali mtt wa rais acha wivu wa kijinga.
Nendeni mkarambe padri wenu asijiuzulu kama lipumba.
Padri kakasirika mumemdharau mumukumbatia joka.
Hajui akirudi atatuambia nini kuhusu luwasa alie tutangazia kila aina uchafu.
Pale arumeru walimchafua mpaka wakambwaga mkwewe nasari akapeta leo ndio munamuona kama mungu mtu na padri munamuona kama mavi mtu alie kisaidia chama kwa muda wote.
 
Mnabishana bila kwenda na fact,,,mleta maada ni mgombea gani unaetuambia tusimchague huyo ambae hajaenda shule??na ni yupi alieenda angalau shule kidogo unaependekeza tumchague ili atuletee maendeleo?
 
Kuna tetesi kwamba Kikao cha Kamati ya Siasa Sumbawanga mjini kitakaa tena Leo, baada ya kutokea mvutano mkubwa ktk kikao cha kamati ya maadili mkoa kilichokaa mpaka usiku mwingi jana ilibainika kwamba kikao cha kamati ya Siasa kilikua na wajumbe batili.

Pia inasemekana wakati wowote kuanzia sasa Mwenyekiti wa CCM Sumbawanga mjini bw Seleman atajiuzuru na kujiunga na Lowasa
 
Unaipigania sumbawanga ukiwa kwenye keyboard na Upo Dar na wanaoweza kusoma hii habar yako wenyeji wa Sumbawanga hawazid 20 na wenyewe wanaishi sehemu tofaut na Sumbawanga.
 
Kwaza mm sijasema mkoa wa katavi unalami kiasi hicho cha km 400 nisome vizuri nimesema mkoa wa rukwa una km sizo pubguwa km 400 bila mkoa wa katavi.
Halafu unaonekana hupendi hupendi serikali inayo simamia sheria.
Unapenda serikali ya hovyo isiyo semima sheria.
Ndio maana unatetea wamachinga kuzagaa mitaani kko bila sheria za jiji kufuatwa.
Hata hao madr unaosema nikatika hao waliogoma bila kufuata sheria.
Unapozungumzia ushindi wenu wa miaka ya nyuma usilinganishe na unao kija.
Kumbuka leo hunae zzk, slaa, lipumba nk.
Leo munae mtu mulie mtangaza kuwa nifisadi alie filisi nchi hii.
Sasa mujue kama wtz wanaakili sio kama munavyo taka kuwaamisha.

ok, tunae yule mmoja aliyefilisi nchi hii, right?? Wale 10 waliobakia Wako wapi?? MEREMETA, RADA, ESCROW, PEMBE ZA NDOVU KUUZWA NJE YA NCHI NA MENO YAKE, WANYAMA WETU PIA!! Wako wapi waliohusika?? Na Ni kina nani?? Wote wamejifcha ndani ya CCM, na wanarudi mjengoni tena!! Ccm imeoza kwa wizi wa Mali ya umma na kufuga majambazi, acheni kujishika na El wakati majambazi yamebaki ndani ya CCM!! Watanzania tushashtuka CCM kimeo, hakuna mwananchi kilaza atachagua CCM ya majambazi wale wale
 
Unaipigania sumbawanga ukiwa kwenye keyboard na Upo Dar na wanaoweza kusoma hii habar yako wenyeji wa Sumbawanga hawazid 20 na wenyewe wanaishi sehemu tofaut na Sumbawanga.

Pamoja na kua niko Dar lakini habari tunazipata subiri uone kama huyo mwenyekiti haondoki, wana CCM Sumbawanga wanamjua kwamba yeye ni pandikizi yuko team Lowasa
 
ok, tunae yule mmoja aliyefilisi nchi hii, right?? Wale 10 waliobakia Wako wapi?? MEREMETA, RADA, ESCROW, PEMBE ZA NDOVU KUUZWA NJE YA NCHI NA MENO YAKE, WANYAMA WETU PIA!! Wako wapi waliohusika?? Na Ni kina nani?? Wote wamejifcha ndani ya CCM, na wanarudi mjengoni tena!! Ccm imeoza kwa wizi wa Mali ya umma na kufuga majambazi, acheni kujishika na El wakati majambazi yamebaki ndani ya CCM!! Watanzania tushashtuka CCM kimeo, hakuna mwananchi kilaza atachagua CCM ya majambazi wale wale

Ww kweli umeishiwa na hoja na nanadhani huko mbele ya mjadala utatukana tu.
Huyo mmoja mulie nae ndio mulisema ndio kinara fisadi papa na mbaya zaidi mumempa nafasi ya ju ya vyama vyenu.
Na ukumbuke hao walio baki ccm hawakupewa nafasi kama mulivyo mpa nyie mh magufuli ni mtu msafi ndio maana mpaka leo hii hamujapata baya kumuandika.
 
Back
Top Bottom