Huku Kanda Maalum ni zaidiAsilimia 90% ya wakazi wa dar hawaipendi ccm fullstop unabisha ulikuepo??π
Mkoani mara nyingi ndo wanachagua wabunge kutoka upinzani ilhali Dar ndiyo inaongoza kwa kuchangua wabunge wa CCM.Mkoani utawambia nini wameshapewa baiskeliπ€£π€£π€£ na vitenge
Viongozi ndiyo wanaendekeza uchawa. Ila Yanga ni timu inayobeba watu wa makundi yote. Na ndiyo maana hata Mh. Tundu Lissu na yeye ni mwananchi.Yanga ni ccm mkuu hawawezi kuzomea
Mimi ni Simba. Ila nawaombea Yanga wafanye hivyo kesho.Kesho azomewe mwanzo mwisho. No way out.
Wanasimba jana wamefanya tukio ngumu sana ni mara baada ya msigwa kumtwangia simu mgombea urais wa CCM Samia watu waligoma kabisa kuitikia salamu ya mgombea huyo.
Kwangu ni jambo zuri sana tuko tunaenjoy zetu mpira wewe unatuletea siasa
Conclusion: Akili za watz zimeanza kuchangamka sasa
Asilimia 90% ya wakazi wa dar hawaipendi ccm fullstop unabisha ulikuepo??π