Wanasimba tutakaoishangilia ZESCO kutoka Zambia siku ya Jumamosi tukutane hapa

ZionGate

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
6,345
2,953
Siku ya Jumamosi timu ya Zesco kutoka Zambia itacheza na Yanga Sports Club kwenye dimba la Mkapa.
Timu ya Zesco ndipo anapochezea kaka wa triple C kiungo mahiri wa clab ya Simba Adrian Chota Chama (ACC)

Adrian ni beki wa kutumainiwa wa kikosi cha ZESCO ambacho wakati wowote kitawasili nchini kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi

Familia na Mzee Chota imebarikiwa kuwa na vijana hao ambao wana vipaji vya hali ya juu katika kusakata kabumbu

Ntakuwa taifa jukwaa pendwa la wanamsimbazi ndani ya uzi wa Zesco.
 
Mods naomba mnirekebishie tittle isomeke Wanasimba
 
Kesho Yanga wanapanda basi kurudi Dar kuiwahi Zesco United
 
Mwaka 1989 ulikuwa na umri gani? Nauliza hivyo kwa sababu timu yako ya Simba ilikuwa ishuke daraja na RTC Kigoma ikaokolewa na Yanga. Leo mwokozi wako unamsusia, akili yako iko sawa kweli?
 
Huyu nae mzima kweli?
 
Kwa wale wanayanga watakaofika uwanja wa taifa siku ya jumamosi watapatiwa tikiti moja mlangoni....
 
Mwaka 1989 ulikuwa na umri gani? Nauliza hivyo kwa sababu timu yako ya Simba ilikuwa ishuke daraja na RTC Kigoma ikaokolewa na Yanga. Leo mwokozi wako unamsusia, akili yako iko sawa kweli?
Ahahahaha umebebwa kucheza Klabu bingwa wakati wewe si bingwa.
Saizi jitegemee msaada tunauhamishia Zesco. We pambana na hali yako.
 
Simba ni moja ya timu zenye mkosi sana duniani kwa kuwa na mashabiki wengi 'mbumbumbu' na "hohe hahe". Mfano mzuri ni huyu mtoa mada, An Eagle a.k.a Gentamycine a.k.a Popoma, na wengineo wengi.
 
Msisahau kuvaa jezi za UD Songo.
 
Nyie wa kuja ndio mnafanya huo umama..born here here hatuwezi kwenda mechi ya Simba Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…