Wanasiasa wote wawe na mihula miwili tu ya kazi

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,606
8,744
Mimi ushauri wangu ni kwamba wanasiasa wote wawe na mihula miwili tu ya kazi (Miaka 10). Siasa haitakiwi kuwa kazi ya maisha. Pili wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa wagombee na wachaguliwe na wenyeji. Hii itasaidia nchi yetu kupata viongozi bora wanaojali watu badala ya biashara ya siasa.
 
Back
Top Bottom