Wanasiasa wavua nguo kupinga bajeti

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,322
33,126
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
</td> <td width="606">

</td> <td align="right" width="139">
</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Wanasiasa wa jiji la Roma wakionyesha nguo zao za ndani walipokuwa wakipinga sera ya Gianni Alemanno aliyegoma kupitisha bajeti ya mji huo.

Katika kile kinachoonyesha sasa wanasiasa wa nchini Italia wamecharuka kwa kutaka maendeleo, hivi karibuni maofisa wa Manispaa wa jiji la Rome, walikusanyika na kufanya maandamano kwa kuvua suruali zao wakilazimisha kupita kwa bajeti ya nchi hiyo kwa mwaka 2010.

Moja kati ya bango walilokuwa wamebeba lilisomeka "Maeneo ya kupaki na bustani zimevunjwa", "Watu hawana makazi”
Meya Sandro Medici wa Cinecitta alimtaja mwanasiasa Alemanno aliyekataa kupitishwa kwa bajeti hiyo kutokana na kudai kuwa na kodi ambazo sio za msingi.

http://www.globalpublisherstz.com/

</td></tr></tbody></table>
 
hawa wajinga tu, watu wazima na heshima zao wanashindwa kufikisha ujumbe kwa njia nyingine hadi wavue nguo.
 
hawa wajinga tu, watu wazima na heshima zao wanashindwa kufikisha ujumbe kwa njia nyingine hadi wavue nguo.

wewe unayefikisha ujumbe kistaarabu mna maendeleo gani?

wewe waite wajinga wenzako wako dunia ya kwanza wewe uko ya tatu!
 
That is the best way to protest. Mie kila ijumaa navaa Tshirt ya RED, nawapa kadi nyekundu viongozi mafisadi yaani hata kimoyo moyo na Mungu atawatimulia mbali
 
tehe tehe tehe
wakina slaa na ze upinzanis wakifanya hii....tutawaita wehu
 
Nangojea hiyo siku wasirra, Mrema, Slaa, Msolwa, komba, mbunge wakigamboni, warioba na vita kawawa wakiamua kuiga sijui itakuaje?
 
Back
Top Bottom