Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.
1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
kwa.waliovuma au waliofanya vyema, inategemeana na vigezo.Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.
1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
1.Tundu LissuWakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.
1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
Hivi huyu Mama Samia na Majaliwa huu ukweli wanausemea wapi? Au wanachagua mambo ya kuyasemea ukweli!Wakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.
1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
Machurity
Dr MagufuliWakati tunaelekea kumaliza 2019 wafuatao ndio wanasiasa wangu bora kabisa kwa mwaka huu,hii ni kutokana na busara,maono,uwakilishi bora wa wananchi,usemaji ukweli,kusikiliza na kutetea wananchi,kutatua kero na uongozi uliotukuka ikiwemo kukua kiuongozi.
1.Samia Suluhu
2.Freeman Mbowe
3.Kasim Majaliwa
4.John Heche
5.Mrisho Gambo
Dr.Daemusin[emoji23]
- doctor stroke
- doctor wakudadavua
- doctor mjinga mimi
- doctor johnthebaptist
- doctor ufipa
Hao ni mtazamo wake binafsi. Hauwezi kuhoji nawe weka wako.
1. Roma mkatolikiMagufuli
Majaliwa
Jaffo
Mtaka
Baba Levo (huyu jamaa inabidi umsikilize akiwa jukwaani ndio utaelewa kwanini aliwekwa ndani, ana kipaji cha kuhamasisha)
Hila kwa kiongozi bora kwangu ni IGP Sirro.
hahahahhaaaa hapo kwa msukuma, hivi yule jamaa alikuwa ga na utapiamlo wa ubongo?Dr Magufuli
Dr Bashiru
Nape Nauye
Cecil Mwambe
Dr Msukuma
Hahahaaa...........!
- doctor stroke
- doctor wakudadavua
- doctor mjinga mimi
- doctor johnthebaptist
- doctor ufipa
Hao wako wewe1. Roma mkatoliki
2. Stamina
3. Marioo