Wanasiasa wamjia juu Omari Mahita

Wanasiasa wamjia juu Omari Mahita

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,582
Reaction score
284,132
Hii ni kutokana na kauli ya kinyama aliyoitoa kwa IGP Sirro ya kupambana na wanasiasa. Mbaralah Maharagande ambaye ni Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CUF na Mwita Waitara wa CHADEMA wameielezea kauli ya Mahita kama iliyopitwa na wakati wamemuomba aelekeze vyama vifutwe badala ya kudhibitiwa kama anavyotaka.

Chanzo - Mwananchi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ni kutokana na kauli ya kinyama aliyoitoa kwa IGP Sirro ya kupambana na wanasiasa .

Mbaralah Maharagande ambaye ni mkurugenzi wa habari na uenezi wa cuf na Mwita Waitara wa Chadema wameielezea kauli ya Mahita kama iliyopitwa na wakati

Wamemuomba aelekeze vyama VIFUTWE badala ya kudhibitiwa kama anavyotaka .

Chanzo - Mwananchi

Nimewashangaa wapinzani hao wote ni wanaChama wa Chama Cha Mauaji unategemea watetee wapinzani??Kunywa damu ni jadi yao hao
 
Jk aliwahi sema ya mbayuwayu changanya na ya kwako. Sasa issue ya Lissu ni kama walichukua ya mbayuwayu(mahita) wakashindwa kuchanganya na ya kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa ni wapumbavu sana. Sijui ni kipengele gani cha katiba ambacho kinawapa haki ya kuvidhibiti vyama vya upinzani. Kama hawataki mfumo wa vyama vingi ni bora wafute vyama hivyo badala ya kutaka kuwaua viongozi wa vyama hivyo ambao hawana hatia yoyote ile.

Hii ni kutokana na kauli ya kinyama aliyoitoa kwa IGP Sirro ya kupambana na wanasiasa .

Mbaralah Maharagande ambaye ni mkurugenzi wa habari na uenezi wa cuf na Mwita Waitara wa Chadema wameielezea kauli ya Mahita kama iliyopitwa na wakati

Wamemuomba aelekeze vyama VIFUTWE badala ya kudhibitiwa kama anavyotaka .

Chanzo - Mwananchi
 
alimaanisha wanasiasa wa upinzani. mahita ni jambazi aliyepewa u IGP.
Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba ALIBURUZWA MAHAKAMANI KWA KUMTIA MIMBA HOUSE GIRL WAKE NA KURUKA MATUNZO YA MTOTO , haikufahamika kama alimbaka au walikubaliana .
 
Kwani siku hizi polisi kazi yao ni kupambana na vyama vya upinzani? Kwani polisi nao ni chama cha siasa? maana vyama vya siasa hupambana vyenyewe kwa vyenyewe. Ndio maana enzi zake alitudanganya eti CUF ni magaidi wameingia na majambia na visu.
 

Mimi mwenyewe naunga mkono wanasiasa wenye mdomo na ukorofi wathibitiwe kisawasawa
Ova!

 
Toka waitwe ikulu kishajiona msafi wakati ni kubwa la majambalika.
 
Mahita hana akili ya kuvaa condom anapom nyanyasa kijinsia housegirl, mpaka kazaa mtoto na housegirl. Watu washasahau mara hii?

Atapata wapi busara za kushauri jeshi la polisi liendeshwe vipi?

Hata kupewa u IGP alipewa kwa sababu ya ujinga wa kudhibiti wapinzani Arusha.

Sasa ataelewa vipi jeshi lapolisi lakisasa linavyotakiwa liendeshwe?
 
Back
Top Bottom