Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Huu wimbo watumiwe Magu na Bashite
Yani mpaka wahuni wamekuwa viongozi awamu ya tano.Kabisa hawa watu wawili na genge lao la watu wanaowaita wasiojulikana wanatuchafulia na kuivuruga Tanzania yetu.
Yani mpaka wahuni wamekuwa viongozi awamu ya tano.
Unawahusu sana Mbowe, Lema, Lisu, Msigwa, Sugu, Mdee na Maria Sarungi
Nyie ndio mnateka na kuua watu,hii nchi ni yetu sote siyo ya mama yenu,AMANI NI TUNDA LA HAKI.Unawahusu sana Mbowe, Lema, Lisu, Msigwa, Sugu, Mdee na Maria Sarungi
Hawawezi kukubaliMange Kimambi ni Mwanachama wa CCM
Tangu Mange Kimambi agombee ubunge CCM hajawahi kujitoa CCM
Mange Kimambi hakuwahi kufukuzwa uanachama CCM
Nyerere Alisema upinzani imara utatoka ndani ya CCM na huyo ni Mange
Maandamano ni ya Wanaccm, watanzania (Mgambo, Jeshi, Polisi etc)
Kwani waliotaka kumpindua Nyerere ni akina nani? Ni Wana CCM (TANU)
Someni historia nyie vilaza wa Lumumba/UVCCM aka Buku 7
Unahubirije Amani huku umeficha Mapanga kwa nyuma? Utahubiri vp amani wakti wewe ndio mvunjaji wa Amani? Unamvunjia mtu nyumba yake kibabe,Mahakani imezuia ubomoaji,wewe unabomoa halafu mikoa mingine unazuia watu wasibomolewe(Double Standard) halafu unasema watu walinde amani?
Unahubirije Amani huku umeficha Mapanga kwa nyuma? Utahubiri vp amani wakti wewe ndio mvunjaji wa Amani? Unamvunjia mtu nyumba yake kibabe,Mahakani imezuia ubomoaji,wewe unabomoa halafu mikoa mingine unazuia watu wasibomolewe(Double Standard) halafu unasema watu walinde amani?
Mnawaendekeza ndio maanaKuna watu wamekuwa kivuruga, wanatoa matamko na kufanya mambo yanayoelekea kuleta uvunjifu wa amani. Nadhani huu ni jumbe murua kwa watawala wetu. Amani hainunuliwi, hasa tukisikia haya mambo ya April, 26
Nymbo inaweza kuwa na ujumbe mzito, na hii yetu ilianza kama minongono ya chini kwa chini, lakini baada ya muda yakafikia hapa kutokana na mambo mengi ambayo yanaonekana kama mambo ya uonevu
Cheo ni dhamana. Wenye madaraka wasichezee nafasi zao. Haki haipotei, inacheleweshwa. Tusichezee amani
Huu wimbo watumiwe Magu na Bashite
Kabisa hawa watu wawili na genge lao la watu wanaowaita wasiojulikana wanatuchafulia na kuivuruga Tanzania yetu.