Wanasiasa tupieni macho recruitment agency.

Wanasiasa tupieni macho recruitment agency.

Mauntana

Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
81
Reaction score
14
Ukosefu wa ajira umekithiri nchini.

Na pale ajira inapopatikana basi inakuwa ni majanga zaidi. Najiuliza kama hawa EROLINK ni wakina nani wanalipwa mishahara ya wafanyakazi wao na kuwapa only 10% wafanyakazi na wanachukua asilimia 90 ya mshahara.

Jamani ubepari umevuka mipaka Tanzania. Kama kuna wanasiasa wa kuliongelea hili basi watusaidie. Iwe CCM au CHADEMA.
 
i wanalipwa mishahara ya wafanyakazi wao na kuwapa only 10% wafanyakazi na wanachukua asilimia 90 ya mshahara.

Nina wasi wasi sana na hii ratio isije ikawa ya kupika maana unyama kama huu hauwezi ukaendelea huku serikali ikiangalia tu na kwa mishahara ya kibongo sidhani kama kuna mtu anaweza kuajiriwa kwa kupitia wakala na 10% ya mshahara ukamtosha jaribu kufikilia akipata mshahara wa M2 10% NI lAKI2
 
Naona hili ni swala la usalama wa taifa.niliposikia kuhusu agency hii inavyofanya kazi niliogopa sana.tiss mtusaidie.tafadhalini tiss!!!!!1
 
Ukosefu wa ajira umekithiri nchini.

Na pale ajira inapopatikana basi inakuwa ni majanga zaidi. Najiuliza kama hawa EROLINK ni wakina nani wanalipwa mishahara ya wafanyakazi wao na kuwapa only 10% wafanyakazi na wanachukua asilimia 90 ya mshahara.

Jamani ubepari umevuka mipaka Tanzania. Kama kuna wanasiasa wa kuliongelea hili basi watusaidie. Iwe CCM au CHADEMA.

......justify plz
 
kuna rafki yng kabsa, amekimbia tena alitafutiwa kazi na hao hao, wana masharti magumu mno.
 
Back
Top Bottom