Wanasiasa ni chanzo cha kukwama kwa utekelezaji wa miradi Serikali isibebeshwe msalaba!!

Nitachukua Case study moja kutoka Bumbuli ambapo kwa kipindi cha takribani miaka 2 Serikali kuu ilipeleka kiasi kisichopungua bilioni 1.3 kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu ya halmashauri...ingawa hadi ninapopost uzi huu mradi huu umekwama kwani kumetokea mvutano baina ya wanasiasa kuhusu ni wapi hasa makao makuu yajengwe.

mvutano huu umepelekea fedha zaidi ya bilioni 1.3 kukaa bila kutumika hadi Mheshimiwa Rais anataka kuzichukua na kuzipeleka wilaya nyingine.

Huu ni mfano mmoja tu wa jinsi utekelezaji wa miradi unavyoweza kukwama kisa ni mivutano isiyo na tija ya kisiasa.Je jiulize katika halmashauri uliyopo kuna miradi mingapi imekwama kisa ni mvutano wa kisiasa??

Hili ni somo kwa wanaohoji kwa nini makusanyo ni more than 94% halafu matumizi ni 50%...tena bahati mbaya baadhi ya wanaohoji ni wanasiasa wale wale wanaokwamisha miradi kwa maslahi ya matumbo yao.

****************************************

Kuhusu Fedha za Bumbuli :

JPM abadili maamuzi

WEDNESDAY , 11TH APR , 2018
NA FATUMA MUNA
Rais Dkt. John Magufuli amebadili maamuzi aliyotoa hivi karibuni ya kurejeshwa serikalini fedha zilizokuwa zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli iliyopo wilayani Lushoto mkoani Tanga na kutaka fedha hizo ziendelee kufanya kazi hiyo.

rais%20magufuli%20kibiti.jpg

Rais Magufuli ametoa uamuzi huo katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela.

Rais Magufuli amesema kwamba aliamuru kurejeshwa serikalini fedha zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli baada ya ujenzi wa jengo hilo kutoanza kwa muda wa miaka miwili tangu fedha hizo zitolewe hivyo alitaka kuwapa wilaya nyingine zenye uhitaji .

Awali Rais Magufuli alifikia uamuzi huo baada ya viongozi wa eneo hilo kutofautiana mahali pa kujenga jengo la Halmashauri na kufanya fedha iliyotolewa na serikali kukaa bila ya kutumika kwa zaidi ya miaka miwili.

"Halmashauri ilipitisha kujengwa kwa Makao Makuu lakini watu wachache walikuwa wakipinga kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Sisi tulitoa kama Bilioni 1.3 au 4 hivi lakini fedha zikakaa tu bila kufanya kazi. Nilitaka fedha hizo nipeleke kwenye wilaya nyingine lakini Mkuu wa Mkoa ameniomba. Mkuu wa Mkoa amesema kwamba mnahitaji makao makuu na ofisi nzuri. Nimebadilisha maamuzi na hizo pesa zijenge makao makuu. Na siku nikija huko nitakuja kulitazama. Kuanzia sasa atafutwe Mkandarasi aanze kufanya ujenzi na pesa zikipungua mniambie nitawaongeza," Magufuli.

Pamoja na hayo Rais Magufuli amesema kuwa siasa za kubishana bishana zimepitwa na wakati kwani Maendeleo ya Bumbuli, Lushoto na Tanga ni ya milele sisi wanasiasa ni watu wa kupita.

Naye Mkuu wa Mkuu wa mkoa wa Tanga ameahidi kutekeleza agizo hilo na kusema atawashughulikia wale wote watakaojaribu kukwamisha zoezi hilo kama ilivyokuwa awali.
Kumbe miradi inakwama halafu mnainua pua juu kama beberu kuunga mkono serikali!!!
 
Hoja ni nani anayekwamisha?
Serikali inayo fedha ya kutosha kwa sasa...wanasiasa wasipokwamisha miradi spidi ya maendeleo itakuwa ni kubwa sana kuliko sasa
 
Cherehani 4 ni kiwanda.
Hv hazikuwepo??

hii nchi shule wanajenga za nini km watu hawaelimiki.. Wanadanganywa, wanashangilia tu
 
Hutoshi kwenye mada...!!kwani mimi nimeainisha wanasiasa wa aina gani?Wanasiasa ni CCM ...huko Kwingine ni magenge ya kifisadi tu yanayokaa kula ruzuku ...hawana kaliba ya kuitwa wanasiasa period!
Hivi hao waliokula Billion 12 za Ruzuku ambao ni CCM ndio Wanasiasa ila waliokula Bilioni 7 Ni genge la kula Ruzuku? Una matatizo makubwa sana!
 
Hutoshi kwenye mada...!!kwani mimi nimeainisha wanasiasa wa aina gani?Wanasiasa ni CCM ...huko Kwingine ni magenge ya kifisadi tu yanayokaa kula ruzuku ...hawana kaliba ya kuitwa wanasiasa period!
Aisee....
Kati ya ruzuku na 1.5T nani ana UKENGE?
Yaani kipindi chote cha JK ziliibwa 0.784T (remember, within ten years ni 0.784T na HUKU ndani ya mwaka mmoja, zimepotea 1.5T hatafu usione ukenge huu...!!!!

UCHAMA UNAKUPOFUA unashindwa kuona 1.5T kuwa ni ufisadi uliotukuka... Haijawahi tokea
 
Nitachukua Case study moja kutoka Bumbuli ambapo kwa kipindi cha takribani miaka 2 Serikali kuu ilipeleka kiasi kisichopungua bilioni 1.3 kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu ya halmashauri...ingawa hadi ninapopost uzi huu mradi huu umekwama kwani kumetokea mvutano baina ya wanasiasa kuhusu ni wapi hasa makao makuu yajengwe.

mvutano huu umepelekea fedha zaidi ya bilioni 1.3 kukaa bila kutumika hadi Mheshimiwa Rais anataka kuzichukua na kuzipeleka wilaya nyingine.

Huu ni mfano mmoja tu wa jinsi utekelezaji wa miradi unavyoweza kukwama kisa ni mivutano isiyo na tija ya kisiasa.Je jiulize katika halmashauri uliyopo kuna miradi mingapi imekwama kisa ni mvutano wa kisiasa??

Hili ni somo kwa wanaohoji kwa nini makusanyo ni more than 94% halafu matumizi ni 50%...tena bahati mbaya baadhi ya wanaohoji ni wanasiasa wale wale wanaokwamisha miradi kwa maslahi ya matumbo yao.

****************************************

Kuhusu Fedha za Bumbuli :

JPM abadili maamuzi

WEDNESDAY , 11TH APR , 2018
NA FATUMA MUNA
Rais Dkt. John Magufuli amebadili maamuzi aliyotoa hivi karibuni ya kurejeshwa serikalini fedha zilizokuwa zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli iliyopo wilayani Lushoto mkoani Tanga na kutaka fedha hizo ziendelee kufanya kazi hiyo.

rais%20magufuli%20kibiti.jpg

Rais Magufuli ametoa uamuzi huo katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela.

Rais Magufuli amesema kwamba aliamuru kurejeshwa serikalini fedha zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli baada ya ujenzi wa jengo hilo kutoanza kwa muda wa miaka miwili tangu fedha hizo zitolewe hivyo alitaka kuwapa wilaya nyingine zenye uhitaji .

Awali Rais Magufuli alifikia uamuzi huo baada ya viongozi wa eneo hilo kutofautiana mahali pa kujenga jengo la Halmashauri na kufanya fedha iliyotolewa na serikali kukaa bila ya kutumika kwa zaidi ya miaka miwili.

"Halmashauri ilipitisha kujengwa kwa Makao Makuu lakini watu wachache walikuwa wakipinga kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Sisi tulitoa kama Bilioni 1.3 au 4 hivi lakini fedha zikakaa tu bila kufanya kazi. Nilitaka fedha hizo nipeleke kwenye wilaya nyingine lakini Mkuu wa Mkoa ameniomba. Mkuu wa Mkoa amesema kwamba mnahitaji makao makuu na ofisi nzuri. Nimebadilisha maamuzi na hizo pesa zijenge makao makuu. Na siku nikija huko nitakuja kulitazama. Kuanzia sasa atafutwe Mkandarasi aanze kufanya ujenzi na pesa zikipungua mniambie nitawaongeza," Magufuli.

Pamoja na hayo Rais Magufuli amesema kuwa siasa za kubishana bishana zimepitwa na wakati kwani Maendeleo ya Bumbuli, Lushoto na Tanga ni ya milele sisi wanasiasa ni watu wa kupita.

Naye Mkuu wa Mkuu wa mkoa wa Tanga ameahidi kutekeleza agizo hilo na kusema atawashughulikia wale wote watakaojaribu kukwamisha zoezi hilo kama ilivyokuwa awali.
Nawaona mkiharibu mnaanza kutenganisha CCM na Serikali, ila mkianzaga kujisifia mnasemaga Serikali ya CCM, serikali ya chama changu, serikali yangu... etc
 
Kweli wewe jingalao, wana siasa ndio waliopora 1.5T kwa mwaka wa kwanza tu wa serikali hii??

Wana siasa ndio walioongeza 2.2T kwenye mahesabu ya TRA??

Wanasiasa wa chadema ndio waliotunga sheria inayomzuia CAG kukagua shughuli za madini??

Mtastuka kukiwa kumekucha
 
Nitachukua Case study moja kutoka Bumbuli ambapo kwa kipindi cha takribani miaka 2 Serikali kuu ilipeleka kiasi kisichopungua bilioni 1.3 kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu ya halmashauri...ingawa hadi ninapopost uzi huu mradi huu umekwama kwani kumetokea mvutano baina ya wanasiasa kuhusu ni wapi hasa makao makuu yajengwe.

mvutano huu umepelekea fedha zaidi ya bilioni 1.3 kukaa bila kutumika hadi Mheshimiwa Rais anataka kuzichukua na kuzipeleka wilaya nyingine.

Huu ni mfano mmoja tu wa jinsi utekelezaji wa miradi unavyoweza kukwama kisa ni mivutano isiyo na tija ya kisiasa.Je jiulize katika halmashauri uliyopo kuna miradi mingapi imekwama kisa ni mvutano wa kisiasa??

Hili ni somo kwa wanaohoji kwa nini makusanyo ni more than 94% halafu matumizi ni 50%...tena bahati mbaya baadhi ya wanaohoji ni wanasiasa wale wale wanaokwamisha miradi kwa maslahi ya matumbo yao.

****************************************

Kuhusu Fedha za Bumbuli :

JPM abadili maamuzi

WEDNESDAY , 11TH APR , 2018
NA FATUMA MUNA
Rais Dkt. John Magufuli amebadili maamuzi aliyotoa hivi karibuni ya kurejeshwa serikalini fedha zilizokuwa zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli iliyopo wilayani Lushoto mkoani Tanga na kutaka fedha hizo ziendelee kufanya kazi hiyo.

rais%20magufuli%20kibiti.jpg

Rais Magufuli ametoa uamuzi huo katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela.

Rais Magufuli amesema kwamba aliamuru kurejeshwa serikalini fedha zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Halmashauri ya Bumbuli baada ya ujenzi wa jengo hilo kutoanza kwa muda wa miaka miwili tangu fedha hizo zitolewe hivyo alitaka kuwapa wilaya nyingine zenye uhitaji .

Awali Rais Magufuli alifikia uamuzi huo baada ya viongozi wa eneo hilo kutofautiana mahali pa kujenga jengo la Halmashauri na kufanya fedha iliyotolewa na serikali kukaa bila ya kutumika kwa zaidi ya miaka miwili.

"Halmashauri ilipitisha kujengwa kwa Makao Makuu lakini watu wachache walikuwa wakipinga kwa ajili ya maslahi yao binafsi. Sisi tulitoa kama Bilioni 1.3 au 4 hivi lakini fedha zikakaa tu bila kufanya kazi. Nilitaka fedha hizo nipeleke kwenye wilaya nyingine lakini Mkuu wa Mkoa ameniomba. Mkuu wa Mkoa amesema kwamba mnahitaji makao makuu na ofisi nzuri. Nimebadilisha maamuzi na hizo pesa zijenge makao makuu. Na siku nikija huko nitakuja kulitazama. Kuanzia sasa atafutwe Mkandarasi aanze kufanya ujenzi na pesa zikipungua mniambie nitawaongeza," Magufuli.

Pamoja na hayo Rais Magufuli amesema kuwa siasa za kubishana bishana zimepitwa na wakati kwani Maendeleo ya Bumbuli, Lushoto na Tanga ni ya milele sisi wanasiasa ni watu wa kupita.

Naye Mkuu wa Mkuu wa mkoa wa Tanga ameahidi kutekeleza agizo hilo na kusema atawashughulikia wale wote watakaojaribu kukwamisha zoezi hilo kama ilivyokuwa awali.
Truth , huku halmashaur ya msalala madiwan wamevutana sana mahar pa kujenga makao makuu ya wilaya, matokeo yake wanaacha kujenga busangi sehem nzuri wakaamua kujenga ntobo kwenye majaluba ya mpunga, sasa hizi mvua zinazonyesha eneo lote limekuwa bwawa na ujenz umesimama. Miongon mwa wanasiasa watz hawana uchungu na Mali zetu.
 
Ndio hivyo mkuu...hapo ujenzi umesimama usitegemee hela zitatolewa kabla ya awamu ya kwanza ya ujenzi kukamilika...hivyo mwakani CAG AKihoji kwa nini fedha hazijaenda tusianze kusema kuna ufisadi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom