Wanasiasa kila kukicha kuhubili Machafuko

Dupe

JF-Expert Member
Jan 21, 2013
1,668
811
Habari za usiku huu wadau…!!

Si mgeni wa siasa za Tanzania kwani nimekuwa mfatiliaji mzuri sana kabla na baada ya uchaguzi, Nimekuwa nikishangazwa na wanasiasa kwajinsi wanavyo hubili machafuko yaani huwezi kuona mwanasiasa akisema bila kusema tutasababisha fujo kana kwamba kila wasichotaka wao wanasiasa basi zitakuja fujo.

Wanasiasa hamuwezi kuongea vitu vya kufanya tuendelee bila kusema hizo fujo? Fujo alete nani? Tunafahamu nyie ndio mumekuwa chanzo cha vurugu hivo mujipange munapoongea na wanachi wenu tunapenda kusikia maneno mazuri ya ujenzi wa nchi yetu
 
Ondoa pumba zako haraka .nani kasema itasababisha fujo taja majina ya hao viongozi ili tuwajue wapi na lini walisema?
 
Africans can not rule themselves....

Give them guns and they will kill one another...
 
Wataje kwa majina la sivyo ni utoto na umbea kama sio unafki

Maana me naona nchi imetulia
 
Rais wa Zenj sisi raia hatuna tamaa ya madaraka,ila wao wenye tamaa ndiyo wachochezi wa fujo
 
Back
Top Bottom