Wanasiana Mlandizi!!

Wanasiana Mlandizi!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,131
Salam wakuu,

Katika hali isiyo ya kawaida watu wawili mwanaume na mwanamke waliokua wakizini katika guest house moja iliyopo eneo la Mlandizi mkoa wa wa Pwani wamekutwa wamenasiana (gandiana) wakati wakiendelea na kitendo chao cha kuivunja amri ya sita.

Tukio hilo lililovuta umati wa wa watu, lilitokea Jana katika moja ya lodge (guest) maarufu hapa Mlandizi. inasemekana wote wawili kila mmoja ni mwanandoa na mume wa mwanamke huyo alimuwekea tego mkewe na baada ya kupata taarifa mkewe amenasa alikuja mpaka mahala hapo na kuwaangalia na kuondoka bila kusema chochote.

Watu hao kwa sasa wapo hospitali ya Tumbi na picha za tukio zikinifikia nitazileta hapa jamvini mjionee wenyewe watu walivyonasiana baada ya kuchepuka.

=====

Nlikuwepo hiyo mitaa ila huwa sipigi picha za kijinga na simu yangu.

Hilo tukio ni la kweli, umati wa watu ulitawanywa na FFU.

Jamani hilo tukio ni la kweli kuna jamaa zangu jana walinipigia simu wakanipa izo taarifa lakini sikuamini ndipo nilipopiga simu na kuwauliza watu tofautitofauti wa pale mlandizi na wakanithibitishia kwamba ni kweli.
 
Thibitisha ndio tuamini, usilete habari za redio matete humu, usitichafulie hewa kwa habari hujazithibitisha "eti umesikia" acha hizo wewe.
 
Ohoooo wape pole waambie siku nyingine wawaulize kwanza wapenzi wao kama hawajawategea hiyo kitu
 
Thibitisha ndio tuamini, usilete habari za redio matete humu, usitichafulie hewa kwa habari hujazithibitisha "eti umesikia" acha hizo wewe.

highlight eti umeskia in my thread. makes me question your intelligence
 
Thibitisha ndio tuamini, usilete habari za redio matete humu, usitichafulie hewa kwa habari hujazithibitisha "eti umesikia" acha hizo wewe.

Jamani hilo tukio ni la kweli kuna jamaa zangu jana walinipigia simu wakanipa izo taarifa lakini sikuamini ndipo nilipopiga simu na kuwauliza watu tofautitofauti wa pale mlandizi na wakanithibitishia kwamba ni kweli.
 
Nlikuwepo hiyo mitaa ila huwa sipigi picha za kijinga na simu yangu.

Hilo tukio ni la kweli, umati wa watu ulitawanywa na FFU.
 
Nimeambiwa ukithubutu kupiga picha, simu yako au kamera yako, itaungua pale pale kwenye tukio, sasa sijui hizi ni tekinolojia ya asili au.
 
Nlikuwepo hiyo mitaa ila huwa sipigi picha za kijinga na simu yangu.

Hilo tukio ni la kweli, umati wa watu ulitawanywa na FFU.

Kupiga picha ni ujinga ila kusimulia ndio ujanja?!!!
 
Back
Top Bottom