MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,479
- 6,532
Jamani hilo tukio ni la kweli kuna jamaa zangu jana walinipigia simu wakanipa izo taarifa lakini sikuamini ndipo nilipopiga simu na kuwauliza watu tofautitofauti wa pale mlandizi na wakanithibitishia kwamba ni kweli.
Walithibitisha vipi kuwa ni kweli