Unataka wenzako watekwe.Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa mabilioni ya walipa kodi kiroho safi tu? Tuna maprofesa wa sheria wanapoongea hadi wanatoa macho yanataka kuanguka, wanashindwaje kuwakilisha nchi ya baba na mama zao kuokoa haya mapesa? Tuna wanasheria wanajiita wazalendo kupindukia, wametusaidia nini? Wanasheria wetu wanaona kilio kikubwa cha jamii kuhusu uonevu na kuporwa kwa haki ya kuishi, ya uongozi, ya huduma mbalimbali, nk, hawaoni hiki kilio, wanataka nani abebe jukumu la kutetea haki za jamii zao? Wanalalamika tu kama raia wengine hii ni sawa? Wanaona mfumo wa haki ulivyojaa rushwa na wakati mwingine wemetumika kudhulumu haki kwa kushikiana rushwa na majaji na mahakimu ikiwa ni pamoja na kupanga hukumu ili tu wapate maslahi ya kifedha (allergedly).
Imefikia hata wao wenyewe hawaaminiani, the case ya Mh. Adv. Lissu kumlipa Amsterdam amtetee hamna watanzania mahiri wa kutetea wateja kwa kesi za kimataifa?, hamna wanasheria wenye kuweza kushindana kimataifa? Wananchi tuende wapi? Tuendelee kuwaamini? Au uwezo wao hauvuki mipaka? Tumeona madaktari, manesi, wanasayansi wakifanya kazi katika nchi zilizoendelea na kuwa na umahiri unaolingana au unazidi hata wakoloni ndani ya nchi zao, why not wanasheria?
Naomba kuelewa wanabodi kama mtanzania mwenzenu na najua wazee wetu wametusomesha kwa shida kubwa na kufanya investments zao za time na mali lakini tunawalipa nini? Rushwa au umahiri?
Mabingwa wa sheria na ujuzi wako wengi sana.Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa mabilioni ya walipa kodi kiroho safi tu? Tuna maprofesa wa sheria wanapoongea hadi wanatoa macho yanataka kuanguka, wanashindwaje kuwakilisha nchi ya baba na mama zao kuokoa haya mapesa? Tuna wanasheria wanajiita wazalendo kupindukia, wametusaidia nini? Wanasheria wetu wanaona kilio kikubwa cha jamii kuhusu uonevu na kuporwa kwa haki ya kuishi, ya uongozi, ya huduma mbalimbali, nk, hawaoni hiki kilio, wanataka nani abebe jukumu la kutetea haki za jamii zao? Wanalalamika tu kama raia wengine hii ni sawa? Wanaona mfumo wa haki ulivyojaa rushwa na wakati mwingine wemetumika kudhulumu haki kwa kushikiana rushwa na majaji na mahakimu ikiwa ni pamoja na kupanga hukumu ili tu wapate maslahi ya kifedha (allergedly).
Imefikia hata wao wenyewe hawaaminiani, the case ya Mh. Adv. Lissu kumlipa Amsterdam amtetee hamna watanzania mahiri wa kutetea wateja kwa kesi za kimataifa?, hamna wanasheria wenye kuweza kushindana kimataifa? Wananchi tuende wapi? Tuendelee kuwaamini? Au uwezo wao hauvuki mipaka? Tumeona madaktari, manesi, wanasayansi wakifanya kazi katika nchi zilizoendelea na kuwa na umahiri unaolingana au unazidi hata wakoloni ndani ya nchi zao, why not wanasheria?
Naomba kuelewa wanabodi kama mtanzania mwenzenu na najua wazee wetu wametusomesha kwa shida kubwa na kufanya investments zao za time na mali lakini tunawalipa nini? Rushwa au umahiri?
Sheria Ni kama Ulivyo udaktari tu,Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa mabilioni ya walipa kodi kiroho safi tu? Tuna maprofesa wa sheria wanapoongea hadi wanatoa macho yanataka kuanguka, wanashindwaje kuwakilisha nchi ya baba na mama zao kuokoa haya mapesa? Tuna wanasheria wanajiita wazalendo kupindukia, wametusaidia nini? Wanasheria wetu wanaona kilio kikubwa cha jamii kuhusu uonevu na kuporwa kwa haki ya kuishi, ya uongozi, ya huduma mbalimbali, nk, hawaoni hiki kilio, wanataka nani abebe jukumu la kutetea haki za jamii zao? Wanalalamika tu kama raia wengine hii ni sawa? Wanaona mfumo wa haki ulivyojaa rushwa na wakati mwingine wemetumika kudhulumu haki kwa kushikiana rushwa na majaji na mahakimu ikiwa ni pamoja na kupanga hukumu ili tu wapate maslahi ya kifedha (allergedly).
Imefikia hata wao wenyewe hawaaminiani, the case ya Mh. Adv. Lissu kumlipa Amsterdam amtetee hamna watanzania mahiri wa kutetea wateja kwa kesi za kimataifa?, hamna wanasheria wenye kuweza kushindana kimataifa? Wananchi tuende wapi? Tuendelee kuwaamini? Au uwezo wao hauvuki mipaka? Tumeona madaktari, manesi, wanasayansi wakifanya kazi katika nchi zilizoendelea na kuwa na umahiri unaolingana au unazidi hata wakoloni ndani ya nchi zao, why not wanasheria?
Naomba kuelewa wanabodi kama mtanzania mwenzenu na najua wazee wetu wametusomesha kwa shida kubwa na kufanya investments zao za time na mali lakini tunawalipa nini? Rushwa au umahiri?
I second YouSheria Ni kama Ulivyo udaktari tu,
Kila mtu anasehemu ya Ubingwa wake..
Kama ilivyo huwezi kutafuta Mtu kwa akutibu kwa Sababu ya Ukabila au Utaifa ila kwa sababu ya Ubobezi (Specialisation)..
Vivyo hivyo huwezi kuchukua mtu akusimamii kesi Kama hajabobea kwenye kitu unachoenda kukidai..
Huwezi kumchukua Advocate/attorney/Counsellor ambaye amebobea Kwenye maswala ya Criminal law halafu Ukampeleka Kwenda Kusimamia Kesi ambayo ni Contract Based.. na Upande wa Pili wako yaani Unaowashtaki ni Wabobezi wa Contract.. Utashindwa..
So unapochagua Chagua Kwa sababu ya Usomi na Ubobevu na sio kwa sababu ya Utawala
Sheria Ni kama Ulivyo udaktari tu,

Exactly, why wanaochaguliwa kwa usomi huo uliosema wanaenda kuangukia pua kila kesi? Kesi ngapi tumewashinda wakoloni? Najua nyingi tumeshindwa )sina namba though. sikumbuki lini tumesherehekea kushinda kesi sisi, kila siku ni kilio tu,
Mimi Nitamsaidia Kujibu..Exactly, why wanaochaguliwa kwa usomi huo uliosema wanaenda kuangukia pua kila kesi? Kesi ngapi tumewashinda wakoloni? Najua nyingi tumeshindwa )sina namba though. sikumbuki lini tumesherehekea kushinda kesi sisi, kila siku ni kilio tu,
Mimi Nitamsaidia Kujibu..
Kwa sababu Kesi nyingi ni Vigumu Kuzitetea,
Kwa mfano wewe Uende Hadharani Ubake watu wengi wakishuhudia Halfu Uombe Nikutetee Kesi..
Unafikiri Nitashinda??
Zaidi nitakachofanya Labda Tufanye Bargaining ya plea..
Kwamba Kama ulipaswa kwenda Jela miaka 30 bhasi nimuombe DPP uende angalau miaka 15..
Hiyo kesi Huwezi kushinda..
Tatizo kubwa Aliwahi kulisema Mh spika Mstaafu kuwa tunaowapeleka kufunga Mikaataba ni watu wasio na Elimu ya Mikataba na Tunawapeleka kwa sbabu ya Seniority hivyo ikija swala la Contract breach lazma tuangukie Pua..
View: https://youtu.be/ngIh0WOWv6A?si=Qnk6TdFnufWQi-Xe
Maybe Tunatatizo linalotakiwa Kuwa Address kutoka kwenye Ofisi ya Mwanasheria Mkuu..Nakuelewa kaka, but why this happens over and over again? Hata bargaining hatufanyi? Hatuna competence? Why? Just curios, sina nia ya kusema vibaya but kuangalia critically kwa nini haya yanatokea na kujirudia miaka na miaka??
Kuna Kesi moja Siku sio Nyingi..Tunaona nchi inaporwa nje na ndani kila siku miaka na miaka ni nani wa kumvisha paka kengele? Babu yangu kule matombo na ushoroba aibuke kusema no, enough is enough? Ni wanasheria au wanasiasa wa caliber ya kibajaji na wenzie wanaojua kusoma na kuandika? au bodaboda?
Japo sijaelewa context vizuri lakini nashukuru kwa maelezo yakoMwajiri unapovunja mkataba wa ajira bila kufuata utaratibu lazima uadhibiwe.
Hapa sio swala la mawakili ni suala la kuvunja mkataba bila kufuata utaratibu... Nafikiri kuna mabadiliko ya Sheria kuwa Mtu anayevunja mkataba bila maelezo ya AG atakuwa held individual responsible.
Mifumo ya Elimu iliyopo Tanzania ina mapungufu makubwa Sana kuhusiana na suala la competency kwa Wahitimu, Mhitimu ili awe mbobevu wa kutosha ni LAZIMA angalau achanganye mifumo ya elimu ya hapa Tz na ya nchi nyingine ya ughaibuni, hapo ndipo anakuwa mkamilifu katika competency ya ubobevu wake kwenye elimu.Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa mabilioni ya walipa kodi kiroho safi tu? Tuna maprofesa wa sheria wanapoongea hadi wanatoa macho yanataka kuanguka, wanashindwaje kuwakilisha nchi ya baba na mama zao kuokoa haya mapesa? Tuna wanasheria wanajiita wazalendo kupindukia, wametusaidia nini? Wanasheria wetu wanaona kilio kikubwa cha jamii kuhusu uonevu na kuporwa kwa haki ya kuishi, ya uongozi, ya huduma mbalimbali, nk, hawaoni hiki kilio, wanataka nani abebe jukumu la kutetea haki za jamii zao? Wanalalamika tu kama raia wengine hii ni sawa? Wanaona mfumo wa haki ulivyojaa rushwa na wakati mwingine wemetumika kudhulumu haki kwa kushikiana rushwa na majaji na mahakimu ikiwa ni pamoja na kupanga hukumu ili tu wapate maslahi ya kifedha (allergedly).
Imefikia hata wao wenyewe hawaaminiani, the case ya Mh. Adv. Lissu kumlipa Amsterdam amtetee hamna watanzania mahiri wa kutetea wateja kwa kesi za kimataifa?, hamna wanasheria wenye kuweza kushindana kimataifa? Wananchi tuende wapi? Tuendelee kuwaamini? Au uwezo wao hauvuki mipaka? Tumeona madaktari, manesi, wanasayansi wakifanya kazi katika nchi zilizoendelea na kuwa na umahiri unaolingana au unazidi hata wakoloni ndani ya nchi zao, why not wanasheria?
Naomba kuelewa wanabodi kama mtanzania mwenzenu na najua wazee wetu wametusomesha kwa shida kubwa na kufanya investments zao za time na mali lakini tunawalipa nini? Rushwa au umahiri?
Sheria Ni kama Ulivyo udaktari tu,
Kila mtu anasehemu ya Ubingwa wake..
Kama ilivyo huwezi kutafuta Mtu kwa akutibu kwa Sababu ya Ukabila au Utaifa ila kwa sababu ya Ubobezi (Specialisation)..
Vivyo hivyo huwezi kuchukua mtu akusimamii kesi Kama hajabobea kwenye kitu unachoenda kukidai..
Huwezi kumchukua Advocate/attorney/Counsellor ambaye amebobea Kwenye maswala ya Criminal law halafu Ukampeleka Kwenda Kusimamia Kesi ambayo ni Contract Based.. na Upande wa Pili wako yaani Unaowashtaki ni Wabobezi wa Contract.. Utashindwa..
So unapochagua Chagua Kwa sababu ya Usomi na Ubobevu na sio kwa sababu ya Utawala
Oh nimekumbuka moja ya City water against dawasco or so enzi za Lowassa waziri wa maji or mkuu!
Kwa kifupi serikalini huwa hawaangalii compitence na siku ukiwa smart jua unageuka adui kwa watu.Sio kwa nia mbaya lakini ni kuwa na jicho critical kidogo, nauliza tu "wanasheria wetu wa kizazi hiki wana viwango?" kwa nini kama nchi kila kesi kule nje kwa wakoloni tunashindwa na kulipa mabilioni ya walipa kodi kiroho safi tu? Tuna maprofesa wa sheria wanapoongea hadi wanatoa macho yanataka kuanguka, wanashindwaje kuwakilisha nchi ya baba na mama zao kuokoa haya mapesa? Tuna wanasheria wanajiita wazalendo kupindukia, wametusaidia nini? Wanasheria wetu wanaona kilio kikubwa cha jamii kuhusu uonevu na kuporwa kwa haki ya kuishi, ya uongozi, ya huduma mbalimbali, nk, hawaoni hiki kilio, wanataka nani abebe jukumu la kutetea haki za jamii zao? Wanalalamika tu kama raia wengine hii ni sawa? Wanaona mfumo wa haki ulivyojaa rushwa na wakati mwingine wemetumika kudhulumu haki kwa kushikiana rushwa na majaji na mahakimu ikiwa ni pamoja na kupanga hukumu ili tu wapate maslahi ya kifedha (allergedly).
Imefikia hata wao wenyewe hawaaminiani, the case ya Mh. Adv. Lissu kumlipa Amsterdam amtetee hamna watanzania mahiri wa kutetea wateja kwa kesi za kimataifa?, hamna wanasheria wenye kuweza kushindana kimataifa? Wananchi tuende wapi? Tuendelee kuwaamini? Au uwezo wao hauvuki mipaka? Tumeona madaktari, manesi, wanasayansi wakifanya kazi katika nchi zilizoendelea na kuwa na umahiri unaolingana au unazidi hata wakoloni ndani ya nchi zao, why not wanasheria?
Naomba kuelewa wanabodi kama mtanzania mwenzenu na najua wazee wetu wametusomesha kwa shida kubwa na kufanya investments zao za time na mali lakini tunawalipa nini? Rushwa au umahiri?
Fact!Kwa kifupi serikalini huwa hawaangalii compitence na siku ukiwa smart jua unageuka adui kwa watu.
Serikalini ili upate cheo huwa wanaangalia
1. Uwe kada wa ccm au uwe mtu mtiifu kwa chama.
2. Uwe na uwezo wa kuwaona wakuu pale inapo bidi.
3. Mtu ambaye yuko tayari kuacha utaalamu na kufwata matakwa ya chama. Mfano kama utaalamu unasema barabara ipite hapa na sio pale ila chama kinataka barabara hiyo ipite sehemu utaalamu hautaki basi uwe tayari kufanya hivyo.