Wanasheria wetu wachovu HAMNA KITU,katiba inavunjwa hakuna kesi mahakamani,katiba imevunjwa kufuta matokeo zanzibar wako kimya,katiba imevunjwa kutangazwa matokeo wako kimya,katiba imevunjwa kumpa cheti jpm wako kimya,katiba imevunjwa kumuapisha wako kimya,katiba imevunjwa kuitisha bunge wako kimya ,katiba imevunjwa kuwaapisha wabunge wako kimya na bado katiba itavunjwa kwa Jpm kuhutubia bila kuwa na Baraza la wawakilishi hakuna watakachofanya.
Nahisi kuna wanachoogopa kutumia weledi wao kutatua hili swala.Nadhani katiba Inakataza kuhoji matokeo mara baada ya rais Kutangazwa lakini sidhani kamapia imekataza kuhoji michakato mingine.Lowasa aliona mbali sana katika swala la elimu ,elimu ,elimu.
Wanasheria wenyewe si ndio aina ya Tulia...
ulitaka tujali matumbo ya mama yako? tulisoma kwa shida halafu tufanye kesi zisizo na malipo hizo kwani tulisoma bure? kama ndio hivyo wewe si ungesoma sheria,,utajuta kwanini mlikimbia sheria na kwenda huko hopeless. tupatieni pesa muone kama hatuwasaidii hapa nchni.
Wanasheria hao hao wamechaguliw kuwa wabunge viti maalum...af unadhani kuna jipya hapo.
Wanasheria wetu wachovu HAMNA KITU,katiba inavunjwa hakuna kesi mahakamani,katiba imevunjwa kufuta matokeo zanzibar wako kimya,katiba imevunjwa kutangazwa matokeo wako kimya,katiba imevunjwa kumpa cheti jpm wako kimya,katiba imevunjwa kumuapisha wako kimya,katiba imevunjwa kuitisha bunge wako kimya ,katiba imevunjwa kuwaapisha wabunge wako kimya na bado katiba itavunjwa kwa Jpm kuhutubia bila kuwa na Baraza la wawakilishi hakuna watakachofanya.
Nahisi kuna wanachoogopa kutumia weledi wao kutatua hili swala.Nadhani katiba Inakataza kuhoji matokeo mara baada ya rais Kutangazwa lakini sidhani kamapia imekataza kuhoji michakato mingine.Lowasa aliona mbali sana katika swala la elimu ,elimu ,elimu.
Nilitegemea wanasheria ndiyo mngekuwa busy kutuelimisha kuhusu haki zetu.Bahati mbaya 90% ya wanasheria wetu wanasubiria uteuzi wa kuwa majaji.
Nilitegemea wanasheria wetu kupiga na kiume mahakamani kufika mpaka ICJ ili kutetea haki za msingi za RAIA wa Tanzania kuchagua Viongozi wao,haki ya kuishi,Haki ya kupiga kura,haki ya kuwa kiongozi hata kama zipo kwenye list ya familia za watawala.Peter bahati mbaya wanasheria wetu wengi siyo wazalendo wengi wao wamekuwa sababu ya maovu kuongezeka dhidi ya raia
Asante Mkuu
Kaka matokeo ya Zanzibar yalivyofutwa tu ,nikaona kama watu wa TLS ,magwiji wa tasnia ya sheria kama wanapasha misuli moto! Maskini ya Mungu Wamelala zaidi ya usingizi wenyewe. We are doomed
ICJ ili uweze kwenda inabidi mpigane na damu imwagike ndo unaweza kwenda kufungua mashitaka....