Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Na hii siyo hapa nyumbani tu bali nchi nyingi za Kiafrika, makoloni ya Uingereza kama Kenya, Ghana &Co. hawajaielewa Bitish common Law vinginevyo kama wangeilewa basi wasingekuwa wanashabikia Katiba Mpya kwenye nchi zetu/zao kila siku na kutumia fedha nyingi kuandika hiyo wanayoiita Katiba mpya ambayo ni copy &paste ya Katiba ya USA, badala yake fedha hizi zingeweza kutumiwa kupunguza Umaskini na kuwekezwa kwenye ustawi ya jamii!
Wameandika Katiba kwa kuchukuwa ya USA matokeo yake hakuna jipya, walichosahau ni kuleta watu wa USA kutawala nchi zao, wamechukuwa tu Katiba ya USA lkn watu wameacha ni wale wale wa Kenya,Ghana &Co. matokeo yake hakuna jipya ...
Hivyo ni wazi kabisa ingawaje wanajiita wanasheria lkn hawajaielewa British Common Law, angalau Mlm.Nyerere ingawaje hakuwa Mwanasheria lkn aliilewa Common law vizuri kuliko hawa Wanasheria wetu wanaotaka copy&paste Katiba ya USA ...
Wanasheria wa Kiafrika wanafikiri common law maana yake kuvaa taulo kichwani!