Kwani Cheng* ni nani? namfananisha na zile PhD 17 za BOTKama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
Ndugu zangu watanzania hasa wanasheria wenye uchungu na nchi yetu, naomba msaada wenu utakao nisaidia kuishtaki ccm na serikali yake kwa kutuibia wananchi na kutusababishia umaskini mkubwa kama siyo ufukara.
Nahisi uchungu mwingi sana kutokana na mateso ndugu zetu wanayopata kutokana na wizi huu mkubwa ambao umekuwa ukifanywa na ccm pamoja na serikali yake wakisaidiwa na vyombo vyetu vya dola.
Kesho asubuhi naondoka hapa Peoria Illinois kuelekea Buffalo NY kukutana na mwanasheria mmoja mzuri wa kimarekeni ambeye ameonyesha moyo wa kutusaida sisi vijana wa Kitanzania tunaohangaika vyuoni, huku tukifanya kazi masaa mengi hata wakati wa snow ili mradi tupate pesa za kuweza kujikimu, huku ccm na serikali yake ikiwaruhusu wezi kutorosha mali zetu.
Rais kama kweli una nia ya dhati acha naomba uwaache huru watu wajadili hizo sheria kwa uhuru wote bila kutoa mwanya kwa hao majizi ya ccm yaliopitisha miswada kwa mbwembwe tena kwa lazima.
Pia peleka muswada wa katiba mpya iliyokwama bungeni ili tupate fursa ya kukamilisha mchakato na kuondoa kinga ili wahusika wote wa wajibishwe bila kujali vyama vyao bali historia iwahukumu wote.
Nahitaji msaada wa kisheria
Guys I am very serious, tunapata kila aina ya mateso hapa USA huku nchi yetu ikitajirisha mataifa mengine.Mbona tayari umeshashtaki kwa Mh. Magufuli?
Nynyi ndo mkirudi huku mnakuja kuingia mikataba fekiNdugu zangu watanzania hasa wanasheria wenye uchungu na nchi yetu, naomba msaada wenu utakao nisaidia kuishtaki ccm na serikali yake kwa kutuibia wananchi na kutusababishia umaskini mkubwa kama siyo ufukara.
Nahisi uchungu mwingi sana kutokana na mateso ndugu zetu wanayopata kutokana na wizi huu mkubwa ambao umekuwa ukifanywa na ccm pamoja na serikali yake wakisaidiwa na vyombo vyetu vya dola.
Kesho asubuhi naondoka hapa Peoria Illinois kuelekea Buffalo NY kukutana na mwanasheria mmoja mzuri wa kimarekeni ambeye ameonyesha moyo wa kutusaida sisi vijana wa Kitanzania tunaohangaika vyuoni, huku tukifanya kazi masaa mengi hata wakati wa snow ili mradi tupate pesa za kuweza kujikimu, huku ccm na serikali yake ikiwaruhusu wezi kutorosha mali zetu.
Rais kama kweli una nia ya dhati acha naomba uwaache huru watu wajadili hizo sheria kwa uhuru wote bila kutoa mwanya kwa hao majizi ya ccm yaliopitisha miswada kwa mbwembwe tena kwa lazima.
Pia peleka muswada wa katiba mpya iliyokwama bungeni ili tupate fursa ya kukamilisha mchakato na kuondoa kinga ili wahusika wote wa wajibishwe bila kujali vyama vyao bali historia iwahukumu wote.
Nahitaji msaada wa kisheria
Chenge hakufanya undergraduate course harvard. degree ya sheria alifanya udsm na masters akaifanyia harvard. Hiyo ndo rekodi sahihiKama MACK ZUCKERBERG na BILL GATES wao Wali DROPOUT pale HAVARD UNIVERSITY..
ANDREW CHENGE yeye alikaza mpaka aka GRADUATE pale ..
Mnategemea WABONGO mtaenda nae sawa.?
Najuwa uko seriuos, hata Magufuli yuko seriuos ndo maana alitangaza mapema kwamba serikali ya Magufuli. Kwa sasa hakuna serikali ya CCM. Labda uishtaki ilani ya CCM ila serikali haipo. Kuna watu 4 tu walikuwa serikali ya CCM. Kasema wote washughulikiwe kamsamehe marehemu Kigoda tu. Labda huko USA habari hazikufika wakati wa kampeni. Kwa sasa labda tuwashtaki mahakimu,vyombo vya dola ambavyo havitatekeleza agizo la rais.Guys I am very serious, tunapata kila aina ya mateso hapa USA huku nchi yetu ikitajirisha mataifa mengine.
JPM was there when ccm were consuming and corrupting our country, he is not coming from heaven today.
Nynyi ndo mkirudi huku mnakuja kuingia mikataba feki
Serikal inawafundisha kwa kuamin wanapata wataalam wenye uzalendo kumbe hakuna chochote
Bora muhangaike ivyo ivyo
Kiboksi cha kura ndiyo sauti yakoNdugu zangu watanzania hasa wanasheria wenye uchungu na nchi yetu, naomba msaada wenu utakao nisaidia kuishtaki ccm na serikali yake kwa kutuibia wananchi na kutusababishia umaskini mkubwa kama siyo ufukara.
Nahisi uchungu mwingi sana kutokana na mateso ndugu zetu wanayopata kutokana na wizi huu mkubwa ambao umekuwa ukifanywa na ccm pamoja na serikali yake wakisaidiwa na vyombo vyetu vya dola.
Kesho asubuhi naondoka hapa Peoria Illinois kuelekea Buffalo NY kukutana na mwanasheria mmoja mzuri wa kimarekeni ambeye ameonyesha moyo wa kutusaida sisi vijana wa Kitanzania tunaohangaika vyuoni, huku tukifanya kazi masaa mengi hata wakati wa snow ili mradi tupate pesa za kuweza kujikimu, huku ccm na serikali yake ikiwaruhusu wezi kutorosha mali zetu.
Rais kama kweli una nia ya dhati acha naomba uwaache huru watu wajadili hizo sheria kwa uhuru wote bila kutoa mwanya kwa hao majizi ya ccm yaliopitisha miswada kwa mbwembwe tena kwa lazima.
Pia peleka muswada wa katiba mpya iliyokwama bungeni ili tupate fursa ya kukamilisha mchakato na kuondoa kinga ili wahusika wote wa wajibishwe bila kujali vyama vyao bali historia iwahukumu wote.
Nahitaji msaada wa kisheria
Anza na Tundu lissu kwanza
huyu ni janga kwa Taifa
.....Anza na Tundu lissu kwanza
huyu ni janga kwa Taifa
Kiboksi cha kura ndiyo sauti yako
Unaanzaje kuwatetea Wezi na kuipinga nchi yako!!You are not serious, sasa Tundu Lissu alikuwa waziri wa nini na alisaini mikataba ipi? acha ujinga wako wa kitoto when people are being discussing serious issues.
Kweli mkuuu mimi ni mkristo ila hapo naona uko sawa kabsaaa. Mahakama ya kadhi ndio suluhishoHII NCHI INAHITAJI MAHAKAMA YA KADHI HIZI ZA KIRAIA ZIMESHINDWA KAZI
Kwani ya kadhi si ya kiraia?HII NCHI INAHITAJI MAHAKAMA YA KADHI HIZI ZA KIRAIA ZIMESHINDWA KAZI