Ukiwowa mwanasheria nayo shida
Najua nitarushiwa mawe! Nimejiandaa kwa hilo. Nimeamka na hang over nikitafakari nchi yangu niipendayo inaelekea wapi. Nimegundua wanasheria they have real fuc..k..ed our country. Ukianzia na Chenge Andrew yule ni mwanasheria, Hosea wa PCB amesomea sheria, Mzee Msekwa amesomea sheria, Mzee Sitta aliyeingia kwa mbwembwe kwenye usipika kumbe naye ni msanii ni mwanasheria, wale jamaa walikuwa wana sign mikataba hewa ya deep green ni wanasheria tena wazawa wa nchi hii hii....the list goes on
whats wrong na wanasheria hivi hawana uchungu na nchi yetu?
I hate that professional....binti yangu hatosemea hiyo!
Masa, please hate a particular wrong doer not all of them, some are jolly good and clean
Tatizo ni njaa na tamaa ndizo zinawaponza hawa watu...
Kuna mwanasheria mmoja mstaafu, niliongea naye hili! Alikubaliana nami kuwa hii fani imeingiliwa vijana wanamaliza sheria UD wanataka kesho yake waendeshe BMW na Mercedes! waishi nyumba za kifahari mzee aliendelea hawa watu wanafanya kazi za kisiasa zaidi kuliko kufata ethics za kazi.
Wanasheria wa kitanzania wako tayari kupindisha chochote mradi apate 30% bila kujali maslahi ya nchi wala watanzania wenzake. Mikataba mingi wanaandika na hata huweza kubadili kulinda wanasiasa.....
Ukiwowa mwanasheria nayo shida
Lawyers are Monsters.....................
sio wote
ongeza dau bana.....................Nitajie wanasheria 4 walio madarakani amabo wanatetea maslahi ya nchi! You have my 10 sent ukiweza
Nitajie wanasheria 4 walio madarakani amabo wanatetea maslahi ya nchi! You have my 10 sent ukiweza