BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,007
Kabisa Mkuu. Mwenyezi Mungu ni mwema. 🙏🏾
Hakika Mungu ana makusudi kwa kila jambo.
Hakika Mungu ana makusudi kwa kila jambo.
😂😂Mazingaombwe...Nyaraaka tokeaaa inatokea!!!.
Ndiko tulikofikia kama Banana Republik.
Nchi inadhalilishwa hadi aibuWanasheria tunaomba mtusaidie juu ya hili jambo.
Sioni kabisa logic ya Mbowe kuendelea kujitetea mbele ya hii mahakama.
Someni hiki:
View attachment 2005847
View attachment 2005849
Wamenyimwa maarifa ili waangamie.Lakini duniani kote haijapata kutokea kwamba harakati za kudai uhuru na haki vilisitishwa kwa kuua au kufunga viongozi wao. Hakuna utawala uliokuwa na nguvu kama ule Apartheid kule SA, enzi za kupigania uhuru. Makaburu walidhani wakimfunga Nelson Mandela, basi harakati zingerudi nyuma. Watawala dhalimu wanachosahau ni kwamba kadri udhalimu wao unavyozidi ndivyo hamasa ya harakati huongezeka.
Hata sasa kwa hapa Tanzania jamii lazima itajiuliza Kuna nini hasa kinachohofiwa na watawala kuwa na Katiba mpya au tume huru ya uchaguzi
Hii issue ya ile nyalaka wengi hawakuielewa vizuri. Na ndio maana hata maswali waliyokuwa wanajiuliza hayakuwa sahihi pia.Wanasheria tunaomba mtusaidie juu ya hili jambo.
Sioni kabisa logic ya Mbowe kuendelea kujitetea mbele ya hii mahakama.
Someni hiki:
View attachment 2005847
View attachment 2005849