Umba Tuku
JF-Expert Member
- Feb 4, 2017
- 2,101
- 1,271
wewe! mbona lisu mwanasheria aliyebobea alisema hawajampigia simu kumbe sheria iko x2?
unamwita kwa sim ? hayo mambo ni official maandishi yanahusika
wewe! mbona lisu mwanasheria aliyebobea alisema hawajampigia simu kumbe sheria iko x2?
UNAWEZA KUMTENGA MAGUFULI NA CCM? AU UNAWEZA KUMTENGA MAGUFULI NA SERIKALI?Eti polisi wangewapigia mawakili wa CHAMA.Hivi LISSU anajua sheria huyu? Hilo kosa alilofanya mbowe la madawa ya kulevya ni la kichama hadi chama kihusishwe na mawakili wa chama wahusishwe? KOSA LA KIBINAFSI WANAGEUZA LA KICHAMA.huyu ndio LISU MGOMBEA URAISI WA TLS!!!!!!!!!!! asiyejua kipi cha kichama na kipi cha kibinafsi
UNAWEZA KUMTENGA MAGUFULI NA CCM? AU UNAWEZA KUMTENGA MAGUFULI NA SERIKALI?