ZEE LA HEKIMA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,422
- 1,851
Utaratibu wa barua ya wito ni wa kisheria zaidi kuliko simu, na kama hapatikani hiyo barua inaweza kuachwa nyumbani kwake au kwa serikali ya mtaa wake ili wampatie. Sheria ikifuatwa hakuna mvutano ni shwari kabisa tuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!lisu:watampigiaje simu wakati simu kazima?
naona jeshi la polisi limeamua kujidhalilisha lenyewe makusudically kabisa.WANASHERIA CHADEMA: MBOWE HATAKWENDA POLISI
WANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamesema wamemshauri Mwenyekiti wao wa Taifa, Freeman Mbowe, asiende kuripoti polisi leo.
Akizungumza jana Mwanasheria wa CHADEMA, John Mallya, alisema Mbowe hatakwenda kuripoti polisi leo kwa sababu amefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam na inaanza kusikilizwa Februari 21 mwaka huu.
“Mbowe haendi polisi, tumemshauri asiende kwa sababu kesi yake inaanza kusikilizwa Jumanne (kesho).
“Kama wanamhitaji, waje keshokutwa (kesho) Mahakama Kuu, watampata hapo,”alisema Mallya.
Kwa upande wake, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisema yuko Mwanza na hajawasiliana na Mbowe.
“Hapa niko Mwanza sijawasiliana na mwenyekiti, lakini kama nikiwasiliana naye, nitamshauri asiende huko polisi.
“Kwa hiyo, naweza kusema kilichofanywa na Kamishna Sirro si wito wa kipolisi bali ni siasa kama ambavyo alifanya Makonda kwa kutangaza majina ya watu hadharani.
“Wito wa polisi huwa ni wa kimaandishi, hawajamwandikia barua, hawajampigia simu.
“Hawa maafande wana namba zetu za simu sisi kama mawakili wa chama, kama wanamhitaji Mbowe kwanini wasitupigie simu mpaka watangaze kwenye vyombo vya habari,”alihoji Lissu.
Alipoulizwa kama Mbowe atakamatwa wakati wowote kuanzia sasa, Lissu alisema watalazimika kulishtaki mahakamani Jeshi la Polisi kwa kitendo hicho.
“Hatuwezi kukubali utaratibu huu, waache kufanya siasa, wakimhitaji mwenyekiti wetu wamwandikie barua,”alisema Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki.
Eti polisi wangewapigia mawakili wa CHAMA.Hivi LISSU anajua sheria huyu? Hilo kosa alilofanya mbowe la madawa ya kulevya ni la kichama hadi chama kihusishwe na mawakili wa chama wahusishwe? KOSA LA KIBINAFSI WANAGEUZA LA KICHAMA.huyu ndio LISU MGOMBEA URAISI WA TLS!!!!!!!!!!! asiyejua kipi cha kichama na kipi cha kibinafsi
upumbavu mwingine ndio huu wa kusema kosa la Mbowe kwani huyo mwizi wa vyeti ana ushahidi dhidi ya Mbowe?Eti polisi wangewapigia mawakili wa CHAMA.Hivi LISSU anajua sheria huyu? Hilo kosa alilofanya mbowe la madawa ya kulevya ni la kichama hadi chama kihusishwe na mawakili wa chama wahusishwe? KOSA LA KIBINAFSI WANAGEUZA LA KICHAMA.huyu ndio LISU MGOMBEA URAISI WA TLS!!!!!!!!!!! asiyejua kipi cha kichama na kipi cha kibinafsi
Sijui kwa nini hutaki kuelewa kuwa mbali na hayo wanapashwa kumpa spika taarifa ya kuhitajika kwa Mbowe Polisi, maana mbali ya kuwa M/Kiti wa CHADEMA ni mbunge na ni mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni. Pili ingekuwa ushahidi wanao bila shaka agekuwa ameisha kuwa arrested na kufikishwa mahakamani, kumbuka kuwa hakuna utaratibu wa kisheria wa kumuita mtuhumiwa kwa kutumia Luninga, magazeti au redio badala ya barua ya wito!!!!!!!!
njia ni nyingi za kufika taarifa kama namba yake kazima, mawakili wapo au watume barua ya wito ataipta. usiruhusu mihemuko ya watala itawale akili yako....lisu:watampigiaje simu wakati simu kazima?
Mbowe aende basi polisi chap chap akathibitishwe kama anahusika au hahusiki kama alivyofanya Gwajimaupumbavu mwingine ndio huu wa kusema kosa la Mbowe kwani huyo mwizi wa vyeti ana ushahidi dhidi ya Mbowe?
Mbowe hana kosa mpaka mahakama itakapohamua vinginevyo.....kwani askofu Gwajima alikuwa na kosa gani na alitajwa na huo huo kilaza aliyeiba vyeti?
angiza unachotaka na kuja kulipa mkuu...upumbavu mwingine ndio huu wa kusema kosa la Mbowe kwani huyo mwizi wa vyeti ana ushahidi dhidi ya Mbowe?
Mbowe hana kosa mpaka mahakama itakapohamua vinginevyo.....kwani askofu Gwajima alikuwa na kosa gani na alitajwa na huo huo kilaza aliyeiba vyeti?
Nani kadhibitisha kosa hilo wakati hajafikishwa mahakamani na kuhukumiwa? wewe ulisoma sharia za wapi?????Kosa alilofanya MBOWE la madawa ya kulevya sio la kibunge na halina uhusiano na maswala ya ubunge wala na Ndugai
Kama kiongozi wa kitaifa, na hauna hata likizo kwa nini uzime simu, watu wanaweza kukutafuta uwasaidie hata baadhi ya mambo. Mfani kwa nini ujifiche, badala ya kukaa nyumbani au kuendelea na shughuli zako kana kwamba hakuna kilichotokea ili kama ukikamatwa kimakosa basi watu wakuone unavyoonewa.njia ni nyingi za kufika taarifa kama namba yake kazima, mawakili wapo au watume barua ya wito ataipta. usiruhusu mihemuko ya watala itawale akili yako....
Sawa nyie ndo ma street lawyers yani wanasheria wa machakani no mitaaniKosa alilofanya MBOWE la madawa ya kulevya sio la kibunge na halina uhusiano na maswala ya ubunge wala na Ndugai
Makosa ya kibunge yakoje na yako chini ya kifungu gani cha sheria????Kosa alilofanya MBOWE la madawa ya kulevya sio la kibunge na halina uhusiano na maswala ya ubunge wala na Ndugai
mkuu kunywa soda nakuja kulipa, vichwa vingine vinaelewa ila vinajidai havielewi.... usije ukakuta unabishana na mwenye PHD yake (pure head damage)Sijui kwa nini hutaki kuelewa kuwa mbali na hayo wanapashwa kumpa spika taarifa ya kuhitajika kwa Mbowe Polisi, maana mbali ya kuwa M/Kiti wa CHADEMA ni mbunge na ni mkuu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni. Pili ingekuwa ushahidi wanao bila shaka agekuwa ameisha kuwa arrested na kufikishwa mahakamani, kumbuka kuwa hakuna utaratibu wa kisheria wa kumuita mtuhumiwa kwa kutumia Luninga, magazeti au redio badala ya barua ya wito!!!!!!!!
mkuu nazania hakuna kitu kizuri kama ukijua sheria na taratibu zake, na hakuna kitu kibaya kama kujua sheria harafu unajitoa ufahamu eti huzijui..Kama kiongozi wa kitaifa, na hauna hata likizo kwa nini uzime simu, watu wanaweza kukutafuta uwasaidie hata baadhi ya mambo. Mfani kwa nini ujifiche, badala ya kukaa nyumbani au kuendelea na shughuli zako kana kwamba hakuna kilichotokea ili kama ukikamatwa kimakosa basi watu wakuone unavyoonewa.
Je wameshindwa kumwandikia barua? Mara kaandikiwa barua ya kuitwa polisi na kaenda?Iweje hii ya kutumia vyombo vya habari kuliko barua au cm?lisu:watampigiaje simu wakati simu kazima?
Kosa hajafanya Mbowe bali inasemekana Bills kuna biashara ya unga,yaani watu wakienda disko wanafanya na mengineyo.....Kosa alilofanya MBOWE la madawa ya kulevya sio la kibunge na halina uhusiano na maswala ya ubunge wala na Ndugai
Kuonyesha kwamba anapinga madawa ya kulevya nadhani angehairisha hata vikao vya bunge na kukimbia Polisi ili asaidie kizazi kinachopotea maana yawezekana miongoni mwa waathirika ni wafuasi wake.Je wameshindwa kumwandikia barua? Mara kaandikiwa barua ya kuitwa polisi na kaenda?Iweje hii ya kutumia vyombo vya habari kuliko barua au cm?
Mbona list ya awamu ya tatu hawakuitaja kama mbili za awali?
Wanajua matope yao walioyafanya lkn wanajitoa akili.....
Kosa hajafanya Mbowe bali inasemekana Bills kuna biashara ya unga,yaani watu wakienda disko wanafanya na mengineyo.....
Je kwann wasianze na meneja kwanza kisha mmliki ndo afuate?
Yule vuvuzela wao lizaboni anasema wameshamkamataWANASHERIA CHADEMA: MBOWE HATAKWENDA POLISI
WANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamesema wamemshauri Mwenyekiti wao wa Taifa, Freeman Mbowe, asiende kuripoti polisi leo.
Akizungumza jana Mwanasheria wa CHADEMA, John Mallya, alisema Mbowe hatakwenda kuripoti polisi leo kwa sababu amefungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam na inaanza kusikilizwa Februari 21 mwaka huu.
“Mbowe haendi polisi, tumemshauri asiende kwa sababu kesi yake inaanza kusikilizwa Jumanne (kesho).
“Kama wanamhitaji, waje keshokutwa (kesho) Mahakama Kuu, watampata hapo,”alisema Mallya.
Kwa upande wake, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisema yuko Mwanza na hajawasiliana na Mbowe.
“Hapa niko Mwanza sijawasiliana na mwenyekiti, lakini kama nikiwasiliana naye, nitamshauri asiende huko polisi.
“Kwa hiyo, naweza kusema kilichofanywa na Kamishna Sirro si wito wa kipolisi bali ni siasa kama ambavyo alifanya Makonda kwa kutangaza majina ya watu hadharani.
“Wito wa polisi huwa ni wa kimaandishi, hawajamwandikia barua, hawajampigia simu.
“Hawa maafande wana namba zetu za simu sisi kama mawakili wa chama, kama wanamhitaji Mbowe kwanini wasitupigie simu mpaka watangaze kwenye vyombo vya habari,”alihoji Lissu.
Alipoulizwa kama Mbowe atakamatwa wakati wowote kuanzia sasa, Lissu alisema watalazimika kulishtaki mahakamani Jeshi la Polisi kwa kitendo hicho.
“Hatuwezi kukubali utaratibu huu, waache kufanya siasa, wakimhitaji mwenyekiti wetu wamwandikie barua,”alisema Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki.
Nimeona tuitaa (twitter) Mh. Lisu ameandika pia mkuu.......Yule vuvuzela wao lizaboni anasema wameshamkamata